Aliniambia mpenzi aliyenitoa bikra. Ni baada ya kunipeleka kwao ila baadae nikaanza kuhisi ni mchawi. Aliniambia hivyo makusudi ili niumie maana alijua nitamuacha. Kama ni wewe ungejisikiaje? Ungejipa faraja gani ili uwe salama!
Hadi sasa huwa naota ananinyang'anya mtoto au ananichoma kisu. Pia Mara baada ya kuachana nae nimekuwa nikiota nafanya mapenzi na wanyama kama ng'ombe na viumbe vingine vya ajabu.
Majoka yananikimbiza sana usingizini na kuota naanguka shimoni.. (Simihusishi yeye moja kwa moja)ila nijikomboe vipi?
NISHAURINI NAJUTA KUMFAHAMU NA PIA NAJUTA KUJIHUSISHA NAE.