estlyjonathan
Member
- May 26, 2016
- 84
- 122
Habari zenu,
Huwa najiuliza katika maisha yangu, mahusiano yangu yanakuwaga magumu sana pindi pale ninapopata mwanaume wa kuwa naye, yani sina bahati kabisa wa kupata mwanaume mwenye uwezo asilimia kubwa napata ambao hawana kitu yani vipato vyao vidogo sana sijui tatizo ni nini, na ukiaangalia binafsi namshukuru Mungu napata chochote kitu ila tatizo linakuja hapo tu.