Moyo Mpweke

Kupendwa na kupenda ndo nin mdau wewe utajitia presha bure tu achana na izo mambo, mche Mungu wako, fanya mazoezi

Mwenzio na kula raha tu sababu nipo single (no love no stress)
Vipi mkuu unapeperusha ndege wa watu
 
Kupendwa na kupenda ndo nin mdau wewe utajitia presha bure tu achana na izo mambo, mche Mungu wako, fanya mazoezi

Mwenzio na kula raha tu sababu nipo single (no love no stress)
hahaha mie.u single siutaki..
 
Back
Top Bottom