Nimekuta uchafu na usaliti kwenye simu yake

Shekuna

JF-Expert Member
May 5, 2014
688
549
Wakuu habari..Jana nilipigwa na bumbuwazi baada ya kushuhudia msichana niliyekuwa nategemea awe mke wangu akinisaliti..ilikua hv
Me nipo chuo hapa dar na ninakaa geto.Huyo dem wang anasoma mkoani so akaja town kunisabahi kama wiki hivi.Tunaishi vizur huku kila siku akichezea dushe za kutosha.Jana usiku tukiwa bed kuna jamaa akapga smu wakaongea dk. kadhaa.Alipomaliza kuongea nikatoka nje kupoteza stress,niliporudi nikakuta amelala nikachukua smu yake nifanye uchunguzi.Nikaenda nayo nje nikatoa lock nikaanza kufatilia convo. watsap na jamaa..nilichokikuta nikajikuta natetemeka na kubaki mdomo wazi.Kuna videos inaonekana alikua amamtumia jamaa huyo aliyekua anaongea nae akijichua kwa vidole na mswaki pia wamekutana na wamesex,hadi akamuahid kumpa tigo.Nikafatilia kuna jamaa mwingine pia alikua anamega,nilichoka.Nilipomaliza nikarudisha smu yake nikakaa nje.Kumbe alikua anaona mchezo mzma akaja akanifata akaniuliza vp kuna nini?nikamwambia hakuna kitu,akauliza simu yake usiku nlichukua ya nin?nikamwambia kwani ni vibaya me kuchukua simu yake!basi toka ile jana sijamwambia chochote kuhusu nlichokikuta kwenye simu na sijaonesha dalili yoyote ya kua tofauti.Anajifanya kuomba msamaha et anajua amekosea me najifanya sielewi chochote kuhusu hlo swala.Mambo mengine nimeacha ili kufupisha stor.
MNANIPA USHAURI GANI WANA MMU!
 
Back
Top Bottom