soweto85
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 301
- 247
wana jamvi, hii nimeistukia leo baada ya kusikiliza kwa makini hoja za wife, wakati tukiongelea hili na lile. katika maongezi yake kuna baadhi ya comment alizokuwa anazishabikia au kuzidadavua huku akiniangalia usoni apate reaction yangu zinashabiana na zile nilizokuwa na post. ila nimemstukia kwa sababu mimi mwenyewe nilishapitia C.I.A

..!! na jf alijiunga baada ya mm kuwa nacheka peke yangu tunapokua tunapiga stoty tupo wawili tu. nikaona sio mbaya nimwelekeze ili aburudike anapokua kwenye shughuli zake. jana sasa ile post ya chanikiwiti ya mshana jr si ilitaka inivurugie utaratibu.....
...!!! du !! post nyingine nitakua napita kmy kmy
!!











