Nipo kwenye mahusiano kwa muda mrefu, kiasi kwamba tunafahamiana vizuri, mimi na mpenzi wangu, nipo likizo nimekuja kumtembelea mpenzi wangu cha kushangaza amekuwa akiondoka usiku eti anaenda kuangalia mpira.
Kinachonishangaza siyo kawaida yake ni tabia tu iliyoibuka ghafla, nimejaribu kumwambia na kumwelesha kitu anachonifanyia siyo kizuri coz kuna muda unahisia na mwenzako lakini ndo hivo anathamini mpira kuliko hata mimi.
Ukweli nakata tamaa kabisa, kwani malengo yetu nikuoana, naumia sana mtu anaponyanyasa hisia zangu.