Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,797
- 6,795
Habari
Mara ya kwanza kusafiri kwenda Mwanza nilikaa na mrembo mmoja kwa bahati mbaya kuanzia tunaondoka asubuhi mpaka tukafika sehemu moja inaitwa Hungumarwa, Kwimba, Mwanza tulikuwa kimya hakuwa anataka kuongea nami.
Tulipofika Hungumarwa tuligonga escudo so ikabidi tusimame kisha traffic wafanye yao. Baadaye kama mida ya saa mbili mdada nikaona mwenyewe akaleta story. Mpaka tunafika nyegezi tunashuka akaniganda nimsindikize kule anapotaka kwenda?
Kipindi flani nasoma tulikwendaga kuangalia muvi sehemu na wadada kurudi tena chuo wakaniganda niwapeleke kumbuka kila mtu alikuja kivyake.
Swali: Kwanini usiku ukiongea kidogo na mtu kama humjui unamwamini sana?