Mwanamke bila kumdanganya hamna kitu

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
44,791
189,308
Habari za jioni wote,

Naona na weekend ndio kama vile inafumbua macho. Poleni na shughuli za week nzima katika kupiga na kukimbizana na pesa

Niende moja kwa moja katika mada tajwa hapo juu.

Hapa washikaji mtanielewa sana kwa hawa wanawake kama mnauzoefu. Na kwa ambao hamjui basi itakuwa poa sana kupata maujanja. Mwanamke bila kumdanganya hapo ujue huna kitu yani hivi vichwa vyao nahisi kama vina NEGATION factor /COMPLEMENT factor.

Time unaenda kutema madini hakikisha unabundle zuri la uongo hakikisha unatema madini vizuri ila ukijifanya unafunguka ukweli hapo yeye ndio anakuona boya kama unamdanganya tu kwake kichwa chake huwa kinapindua ukweli nakuona uongo ila ukitema sumu za uongo ujue yeye kwake anapindua uongo na kuwa ukweli na unajikuta unakula tunda kiulaini kabisa.

Ila wewe nenda na ukweli utaona cha moto huko. Pia ukienda na uongo pamoja na ukweli hapo ujue unatengeneza complicated relation tu maninja. Wakuu unaweza kuongeza ma skills uliyokutana nayo katika mihangaiko ya hapa na pale.

HINT: Ukidanganya hakikisha unadanganya kweli kweli no retreat no surrender ukijichanganya hapo tu ukaona huruma uanze kumwambia ukweli ujue ndege si wako tena.
 
Wanaume banah
Huwa tunajitoa ufahamu tuu lakini sio kwamba huwa hatujui uongo na ukweli, palipo na ukweli uongo hujitenga, sema ukikutana na mwanaume muongo huwa ni raha sana maana unamchora at end unamtolea nje ndio wale hugeuka kuwa maadui kwasababu ya ujinga wao wa kuhalalisha uongo uwe ukweli, mtoa mada acha kupotosha wenzio utawakosesha mazuri.
 
Siku izi mbona kuna kutongozana tu?? Guess am getting too old

Kama umevutiwa na mtu unaanzisha ukaribu nae, dinner za uongo na kweli, vizawadi vya hapa na pale, kama kuna chemistry kati yenu mambo yatajipa tu

Ila kumbananisha mtu chemba kumpa mamistari mi kwangu naona kama utumwa tu, there are better ways of letting a girl know you are in for her!!
 
Tatizo moja nililogundua katika kudanganya katika mahusiano, ni kwamba utaishi kwa matezo zaidi maana hutoishi katka uhalisia wako kama umempenda na una malengo nae mweleze ukweli ili uishi ukiwa huru.. Kuna jamaa yangu alidanganya kuwa ana maisha mazuri siku moja demu akatoka mkoani kwa kumshutukiza jamaaa kilichomkuta jamaa nitakuja kumalizia kesho
 
Wanaume banah
Huwa tunajitoa ufahamu tuu lakini sio kwamba huwa hatujui uongo na ukweli, palipo na ukweli uongo hujitenga, sema ukikutana na mwanaume muongo huwa ni raha sana maana unamchora at end unamtolea nje ndio wale hugeuka kuwa maadui kwasababu ya ujinga wao wa kuhalalisha uongo uwe ukweli, mtoa mada acha kupotosha wenzio utawakosesha mazuri.
Kwa jinsi tu username yako ilivyo nzuri nahisi wewe ni zaidi ya mrembo.
Nahisi smile lako ni tamu kama strawberry.
Kama upo Dar naomba weekend hii twende bagamoyo tukapunge upepo!
 
Back
Top Bottom