T-Bagwell
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 1,243
- 2,378
Habari wana Jf?
Mpenzi wangu anaota ndoto usiku kama kuna mtu ana muingilia kimwili nyakati za usiku
Mtu anakua hamuoni, anasema hii ni mara kama ya nne.
Ila mara ya tatu anasema alijikuta amechafuka.
Nini inaweza kuwa sababu na jinsi gani tunaweza suluhisha hili tatizo.
Hatukai pamoja.
Comment yako naomba iwe ya msaada.