Kajolijo
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,364
- 4,612
Jaman hivi mkiwa wapenzi lazima umkamue mwenzako ndio maana ya mapenzi au ujue kuwa unapendwa? Wewe unajua kabisa mpnz wako anasomesha wadogo zake, anawapa wazazi chochote, analipa chumba, ana matumiz mengin ya kwake, kamshahara kenyewe kakakopea na bado kanakatwa asilimia 15 na bodi ya mkopo halafu wewe mwanamke unakazi unalipwa tena unakaa kwa baba na mama sasa kwanini uendelee kumchuna huyo mtu jaman, hivi mnajua kama mtaani hali n ngumu sahz kweli,.. zama nmebadilika jaman. Yaani ninyi mnachojua n kua mkiwa wapenzi lazima mpewe hela? Kumbukeni na sisi tunataka kuhongwa jaman, hivi ninyi mkiacha penzi mnalotupa mnatupa nini tena? Mbadiliken tafadhal