Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,215
- 3,683
Hivi ni kipimo gani au ni kitu gani huwa unakifanya kumpima mpenzi wako kutambua kama anakupenda kweli au au anakuzingua.
Mimi upande wangu huwa nina vipimo vya aina tatu.
1.Cha kwanza huwa najifanya hali yangu kimaisha mbaya ili kumuona ni kweli ataweza kunivumilia katika shida na raha.
2.Kujifanya sina hela nione upendo wake kwangu kama kafata pesa au mapenzi ya kweli.
Ni mengi ya kusema vipi wewe upande wako unatumia kipimo gani kumpima mpenzi wako au anakuzingua?