Dereva Suka
Senior Member
- Sep 25, 2014
- 176
- 289
Habari zenu wana JF wa jukwaa pendwa kabisa la MMU.
Nimekaa nikajiuliza sana kuhusu maamuzi mbalimbali ambayo huwa yanachukuliwa kwa sababu ya Usaliti au Fumanizi na jinsi yanavyoendana na Personality au traits za watu hawa ambao wanakuwa ni victims wa usaliti huo.
Baadhi ya maamuzi ambayo huchukuliwa ni.
1. Kujiua,
2. Kuua,
3. Kujeruhi,
4. Kuachana au kumuacha aliyekusaliti,
5. Kutokuchukua hatua yeyote zaidi ya kumsamehe muhusika wa usaliti.
Ungekuwa ni wew ungechukua maamuzi gani na sababu zako za kufanya hivyo ni zipi.