Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini za mihangaiko! Mimi nimeoa yapata miaka 7 iliyopita na tumebarikiwa na mtoto mmoja mpaka sasa. Mahusiano yetu hayajawa na utelezi japo natambua ni kawaida kuwa na milima na mabonde Ila...
15 Reactions
203 Replies
22K Views
Habari za asubuhi wana MMU wenzangu, Ni ukweli usiopingika kuna wakati huwa tunawamiss ma x wetu, ila tunajikaza tu, ila moyoni huwa tunalitambuwa hili, wakati mwingine wanatuachia mapengo...
26 Reactions
218 Replies
18K Views
Kwa rehema za Manani natanguliza amani Moyo upo mashakani macho yapo gizani Si lakuvunda wala la ubani kwake taabani Kwa penzi lake la thati moyo upo rehani Nikupendae ni ww wengine hawana...
1 Reactions
3 Replies
787 Views
Habari wana JF, Mimi ni mvulana mwenye maambukizi ya VVU. Nahitaji mwanamke mwenye VVU ambaye atakuwa mke. Sichagui dini wala kabila. Umri kuanzia miaka 27 mpaka 35. Nipo serious jamani. Sihitaji...
6 Reactions
48 Replies
12K Views
Hellow friends! Natumai mu wazima wa roho, mwili pamoja na akili. mwenzenu nashindwa kumwelewa huyu ndugu yetu ( binti) alietembea kimapenzi na mdogo wa shemeji yetu. Basi wangeishia kupeana...
2 Reactions
58 Replies
7K Views
mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 32 ,dini muislamu ni mwajiriwa wa serikali kada ya Elimu, nafanya kazi halmashauri ya jiji la mwanza, natafuta mwanamke aliye serious kuolewa na kuwa...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Hello JF members! Mimi ni mgeni hapa DAR nimetoka Arusha. Nataka kufanya massage naomba mnielekeze ni sehemu gani hizo saloon zinapatikana maana nimeskia tu kwa ujumla sinza na kinondoni. I reaaly...
1 Reactions
101 Replies
67K Views
St
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 30, elimu yangu ni bachelor degree, mimi nipo Mpanda ndipo ninapofanya kazi. Nahitaji mwanamke wa kuzaa nae, kigezo cha mwanamke awe angalau na diploma au zaidi, mwanamke...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna jamaa mmoja maarufu tu hapa Bongo sitaki kumtaja hapa alioa mwaka jana mke wake alikuwa na matatizo ya figo, mdogo wa mume wake wa kiume yaani shemeji ndo kamtolea figo yake maskini. Hajadai...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Jongoo ni mdudu mdogo sana ambaye anaogopwa na jopo kubwa kabisa la wanawake, Hii inafika mbali zaidi mpaka unakuta wanawake wanatoka nduki huku wakisasambua nguo zao, wengine hujikuta wanaruka...
10 Reactions
164 Replies
41K Views
Mimi ni kijana wa kitanzania, nina tatizo moja la kushindwa kutongoza mwanamke wa aina yoyote, msaada wenu jamani, nifanyaje?
1 Reactions
54 Replies
7K Views
Wakuu salaam, Mimi ni mwenyeji humu ndani ila tu kutokana uzito wa habari hii niliona nije under cover kwa miaka 4 niliyokaa Jf kuna ambao tunajuana personally na ni wengi tu. Ndoa yangu sasa...
83 Reactions
560 Replies
69K Views
Habari wana JF, Mimi ni kijana wa miaka 25 nipo chuo mwaka wa pili, lakini maendeleo ya chuo yameanza kufifia baada ya kukutana na mwanamke tajiri na mwenye umri mdogo miaka 23 huyu dada...
5 Reactions
114 Replies
7K Views
HII NI NONDO KWA WANAUME Baada ya kupata ajali ya gari, na kutolewa jicho moja huku uso wake ukiwa umeharibika Anna aligopa hata kutoka nnje achilia mbali kutoka na mumewe kwenda sehemu za...
11 Reactions
17 Replies
2K Views
Tz kila kitu siasa. Ukienda kanisani siasa,sokoni siasa,hospitali siasa,ajira nazo siasa. Hadi bongo movie nao wanatuletea siasa. Kwa ufupi siasa imekuwa jipu ndio maana binafsi nashinda MMU tu...
13 Reactions
106 Replies
9K Views
1. Ngono haimfanyi mwanaume asikuache, hata ukukuruke vipi, jikwatue kiasi gani kama hajaona quality za kuwa mke atakuacha tu. 2. Mwanaume anaekupata kwa vile alitumia pesa zake kwako hatakaa na...
7 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za Jumapili wapendwa.. Short Story..... Mwanamke huyu tangu nilipoanza nae mahusiano October 2014 hatujawahi kuwa pamoja zaidi ya wiki moja au siku kumi, hii ilitokana na...
7 Reactions
115 Replies
10K Views
Sometimes in life all you need is peace and love actual most times you need someone to care about you make you feel special make u relax one person you can share your thoughts without being judged...
11 Reactions
37 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…