Mawazo

Hili swala linanitesa kiukweli kila binadamu anachangamoto zake lakini nadhani huwa tunaziidiana.

Najikuta na mawazo sanaa kwakweli naomba mwenye kufahamu dawa ambazo ziinasaidia kuondoa mawazo anisaidie nipo nawakati mgumu.
Naomba sana MUNGU lakini bado Hali niile ile.

Nakunywa sana dawa zausingizi lakini sasa naona hazinisaidii kama ilivokuua awali.

Tafadhali msaada mwenyekufahamu hizo dawa zakuondoa mawazo.

Njoo nikutoe mawazo ni PM no yako .Nini chanzo cha mawazo na uko mkoa gani?
 
Hili swala linanitesa kiukweli kila binadamu anachangamoto zake lakini nadhani huwa tunazidiana. Najikuta na mawazo sana kwakweli naomba mwenye kufahamu dawa ambazo zinasaidia kuondoa mawazo anisaidie nipo nawakati mgumu.

Naomba sana MUNGU lakini bado hali ni ile ile.

Nakunywa sana dawa zausingizi lakini sasa naona hazinisaidii kama ilivokuua awali.

Tafadhali msaada mwenye kufahamu hizo dawa za kuondoa mawazo.
Simama kunywa dawa ukiweza niambie unawaza nini hasa
 
Unaonekana unapenda dawa kama hilo jina lako
Changamana na watu, marafiki waelezee watu unaowaamin matatizo yako wakusaidie usipende kukaa mwenyew mwenyew
 
Pole sana , nakupongeza kwa kuomba msaada na yataisha, hiyo ni hatua moja wapo ya kuelekea kusolve tatizo
 
Hili swala linanitesa kiukweli kila binadamu anachangamoto zake lakini nadhani huwa tunazidiana. Najikuta na mawazo sana kwakweli naomba mwenye kufahamu dawa ambazo zinasaidia kuondoa mawazo anisaidie nipo nawakati mgumu.

Naomba sana MUNGU lakini bado hali ni ile ile.

Nakunywa sana dawa zausingizi lakini sasa naona hazinisaidii kama ilivokuua awali.

Tafadhali msaada mwenye kufahamu hizo dawa za kuondoa mawazo.
Una marafiki? Vip hali yako ya kipato?una mpenzi? Kama unaye vip hali yenu ya mahusiano.
 
Kusali bila kuweka nia ni sawa na kuimba bila kujua maana ya unachoimba yaan ili mradi tu. Kwanza vumbua chanzo cha mawazo na ujue kama unaweza kushare na mtu ili akusaidie jinsi ya kusolve au ndio ya kufa nayo bila kuyasema kwa watu.

Tafuta mtu unaemwamini mwambie kinachokusumbua lazima utapata ufumbuzi,dawa za usingizi sio solution bali kujiongezea matatizo
 
kula unga mzeee.... ukiona bado piga cha Arusha.. ukiona haifanyi kazi jinyonge tu utakuwa ushashindikana sasa!!!!
 
Hili swala linanitesa kiukweli kila binadamu anachangamoto zake lakini nadhani huwa tunazidiana. Najikuta na mawazo sana kwakweli naomba mwenye kufahamu dawa ambazo zinasaidia kuondoa mawazo anisaidie nipo nawakati mgumu.

Naomba sana MUNGU lakini bado hali ni ile ile.

Nakunywa sana dawa zausingizi lakini sasa naona hazinisaidii kama ilivokuua awali.

Tafadhali msaada mwenye kufahamu hizo dawa za kuondoa mawazo.
 
Attachments

  • FB_IMG_1493054714530.jpg
    FB_IMG_1493054714530.jpg
    33.8 KB · Views: 24
Back
Top Bottom