Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,574
- 48,725
Kuna jamaa mmoja maarufu tu hapa Bongo sitaki kumtaja hapa alioa mwaka jana mke wake alikuwa na matatizo ya figo, mdogo wa mume wake wa kiume yaani shemeji ndo kamtolea figo yake maskini. Hajadai chochote wanawake tulivo anaweza kupona halafu aje amuache kaka yao.
Siombei iwe hivo lakini.
JF MMU tunawaombea afya njema
Siombei iwe hivo lakini.
JF MMU tunawaombea afya njema