Massage Saloon (Massage Parlour) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Massage Saloon (Massage Parlour)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kikahe, May 23, 2009.

 1. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2009
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hello JF members! Mimi ni mgeni hapa DAR nimetoka Arusha. Nataka kufanya massage naomba mnielekeze ni sehemu gani hizo saloon zinapatikana maana nimeskia tu kwa ujumla sinza na kinondoni. I reaaly need this, plz help
   
 2. K

  Kimori88 Member

  #2
  May 23, 2009
  Joined: May 17, 2009
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  What is so special kikahe kufanyiwa hiyo massage? Well kama ukija Moshi nasikia Kindoroko Hotel Kuna hudumahiyo au ukienda shant Town just before International School kuna wachina wanafanya massage utaona kibao chao karibu na Panda chinese. Kwa dar mimi sijui huo mji siujui. May be other JF members will help you
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  May 23, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180

  Sa Mr Kimori, why the hell umuulize swali kama hilo?

  Kwani wewe hujui huduma kama hiyo ni kwaajili ya nini?

  Au unawaogopa kunanihiiwa na hao wachina? Hawana

  shida,... zile za KICHINACHINA hawazifanyi kwenye

  shughuli hiyo... ni burudaaaani... relaxation ya hatari!

  I think watu wa Dar mtamsaidia huyu jamaa!
   
 4. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #4
  May 23, 2009
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  ukija makumbusho huku karibu na kituo cha mabasi kuna saloon ya massage, victoria nyuma ya knight support kuna hudama hiyo pia.
   
 5. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #5
  May 23, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145

  gharama zake vipi?
   
 6. W

  WABONGO Member

  #6
  May 23, 2009
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF, hivi ni saloon ama salon? mara nyingi huwa nataka kuuliza, huu ndiyo muda muafaka.
   
 7. Nyaralego

  Nyaralego JF-Expert Member

  #7
  May 23, 2009
  Joined: Nov 13, 2007
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ni Salon.

  Hiyo saloon ni ya western movies zile za Clint Eastwood.
   
 8. Kite Munganga

  Kite Munganga JF-Expert Member

  #8
  May 23, 2009
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,298
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145

  Nyumba zilizokuwa za BHESCO? Kiingilio je? Wahudumu Wachina au Wamakonde?[​IMG]
   
 9. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #9
  May 23, 2009
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,275
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  ukipenda kitu usiulizeulize gharama :)
  nenda tu kajaribu wanakupeleka sayari nyingine kwa muda kwikwikwi
   
 10. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Kaka wahudumu ni wamakonde lakina mambo yao ni ya kichini.I have been there and i dont regret to know this place....Bei ni 15,000/= za kitanzania kwa 45minutes..na cocacola baridi ya bure unapewa
   
 11. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #11
  May 24, 2009
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Huyo Kimori sijui kwanini kaniuliza hivyo.
  Samamhani Mwalyambi30, Mimi kidogo ni mshamba ila baada ya kujadiliana na friends hapa wamenielimisha. nasikia ni raha sana and its a very good way of relaxing and releasing tension. I would also like to taste the thing soon.Wataalamu tuelekezeni exactly where the place is, hiyo BHESCO iko wapi? thanks and sorry for any inconvinience I may have caused
   
  Last edited: Jun 30, 2009
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  May 24, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160

  Mazee wanafanya nini zaidi naweza kuwa mteja siku moja!
   
 13. Kite Munganga

  Kite Munganga JF-Expert Member

  #13
  May 24, 2009
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,298
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Asante kunijulisha, siku nikimtembelea Omary Kimbau nitapitia kwao nipate raha ya kupelekwa dirishani unaambiwa tema, unatema kisha unarudishwa mahala palepale
   
 14. K

  Kimori88 Member

  #14
  May 24, 2009
  Joined: May 17, 2009
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hello JF members. I am sorry. I did not mean to offend kikahe its a lack of exposure. I didnt if that things is that important. Nimepigwa shule na watu nimeelewa na hata mimi nitapenda kufanya hivyo kitu siku moja. SO kwa maelezo atakayopewa Kikahe nami nitaandika kwenye diary yangu ila nikja huko DAR nikaonje hiyo tam tam ya mikono ya wamakonde.
   
 15. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #15
  May 24, 2009
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kigogo hiyo uliyofanyiwa kwa 15,000/= na coca baridi ni wapi? Please let me know. thanks
   
 16. Bonnie1974

  Bonnie1974 JF-Expert Member

  #16
  May 25, 2009
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 407
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wewe nenda.
   
 17. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #17
  May 25, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Bwana Kikahe jina sahihi ni massage parlour sio saloon wala salon,nitakutajia baadhi za bei nafuu manake kuna za mpaka laki.
  1.Soft touch-Makumbusho kituoni 15,000/-chumba cha kawaida,25,000/-unawekewa sinema na kuoga(self contained),35,000/-unafanyiwa massage ndani ya jacuzzi.
  2.Miriam-Victoria nyuma ya knight support 20,000/-
  3.Revonia na Libra-TXmarket k'ndoni 15,000/-
  4.Equal-manyanya k'ndoni 15,000/-
  5.Magic-namanga 20,000/- ukitaka sauna baada ya massage unaongeza 5,000/-
  6.Lisa-regent mkabala na Zantel utaona bango 20,000/-,sauna +5,000/-
  7.Full dose-upanga karibu na Diamond 15,000/-
  8.BMK-15,000/-
  9.Lily-nyuma ya bestbite 20,000/-
  Massage zote hizi ni za saa nzima na kuna 'hard' ya lotion au oil kuondoa maumivu,stress na tension,na 'soft' ya poda hii ni relaxation na sensual massage.Kwa maelezo kuhusu huduma za ziada tuma PM(kina fidel80,masanilo,yoyo hahaha!) sitaki kuharibu biashara za watu.
  Kwa wale ambao pesa sio tatizo jaribuni kwa Mercy G-town centre karibu na hindu mandal 50,000/-.Massage zote hizi ni za wamatumbi wenzetu sijataja za wachina au mahoteli makubwa.
   
  Last edited by a moderator: May 29, 2009
 18. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #18
  May 25, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kwa Mercy G ndio mercy galabawa? hapo lazima niende kabla mshahara haujaisha i have a feeling it will be interesting and worthwhile na hiyo ya jacuzzi next month nitapita na nimekutumia PM mkuu naona u mzoefu wa mambo haya ya mujini.
   
 19. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #19
  May 25, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Am glad i could be of help Mkuu,Shy alitutajia sehemu zote za kuwapata 'night sisters' nami nimeongeza sehemu za massage tungepata mwingine wa kutueleza kumbi zote za burudani wana JF wasingehangaika.
   
 20. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #20
  May 25, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ilikuchukua muda gani kupita sehemu zote hizi mkuu Lagatege?
   
Loading...