mkata kamba
Member
- Apr 4, 2017
- 9
- 6
Mimi ni kijana wa kitanzania, nina tatizo moja la kushindwa kutongoza mwanamke wa aina yoyote, msaada wenu jamani, nifanyaje?
Basi jipitishe pitishe utongozwe wewe...
Subiri utongozwe sio lazima utongozemimi n kijana wa kitanzania, ninatatizo moja la kushndwa kutongoza mwanamke wa aina yoyote, msaada wenu jaman, nofanyaje
Una hela?mimi n kijana wa kitanzania, ninatatizo moja la kushndwa kutongoza mwanamke wa aina yoyote, msaada wenu jaman, nofanyaje
Kanunue bamia washa moto injika maji katakata bamia tia chumvi likiiva songa ugali ule Dmimi n kijana wa kitanzania, ninatatizo moja la kushndwa kutongoza mwanamke wa aina yoyote, msaada wenu jaman, nofanyaje
Msaidie mwenzako bhana, mpe hata vitekiniki jamaa alivyotumia kuteka kisukumio cha damu.Kanunue bamia washa moto injika maji katakata bamia tia chumvi likiiva songa ugali ule D
Wewe ni ndezi kama jamaa ang juz kaja kuniadisia et kapanda na manzi kwny bus dem kamwambia kapenda kampan yake wakipga story jamaa akadrop posta manz kashukia fery sasa kchaa anambia daa nimeogopa kuchukua no ilibid nimpe bao la mgongo ma tusi juu