Futuristic 73
Member
- Aug 21, 2016
- 30
- 40
.
Uwe unaweka na pichahivyo ndivyo inavyotokea kwa vijana wengi wa sasa ambao wanajikuta wanatumbukia katika mkumbo wa kuuza sura instagram kwa kujiita mamodel ili wapate "madem"...jiulize kijana mwisho wa hayo uyafanyayo sasa ni wapi...na yana manufaa gani? Je yalishamfaa yoyote...unaiga kutoka kwa nani? hii ni hata kwa nyinyi kina dada pia