Sijui ni uchovu au laa kila tukikutana tuu yeye anawahi kukujoa yaani akiingiza tuu anakojoa nikimuuliza why anasema kua k yangu ina joto sana huwa ananiacha na hamu sana hivi kuna dawa au nimwache?
Habari ya tarehe 28 wakuu, naomba mnisaidie kunifahamisha tafadhali, hivi inawezekana mwanamke akaingia kwenye siku zake siku moja na ya pili akawa amemaliza? Hali hii imenitokea mm hadi nikapata...
habarini humu ndani?
moja kwa moja kwenye mada tafadhari!
Ewe baba / mama ulikimbia majukumu ya kulea mpaka binti yako kapata kazi ndio unakuja kujitambulisha ili akupe walau robo ya mshahara wake...
Mpo poa wakubwa.
Hakika katika viumbe wanaonivutia katika kufanya mapenzi ni Kuku. Jogoo ni jogoo tuu.
Wapo watu wanaomchukulia jogoo poa kwa kudhani anakojoa mapema lakini nataka nikwambie...
Mwanamke alimkimbia mumewe na akamuachia mtoto mwenye miaka mitatu.
Sababu kubwa ya kumkimbia mumewe ni kwamba alipata boyfriend mwenye hela ambaye alikuwa akiishi Michigan huko Marekani.
Huyo...
Habari wanajukwaa?
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa muhanga kwa kumpenda sana mwanaume kiasi cha yeye pia kujua hilo.
Kiukweli alinipenda na kunionyesha kunijali sana. Alisimamia kila nilipokuwa na...
Habari za leo wakuu..
Nafikiri nyote mu wazima na mkiendelea na majukumu yenu ya kila siku.
Leo nataka niwafahamishe nguvu au udhaifu wa nyota yako kupitia jina lako na la mamaako.
Kwa kawaida...
Kuna wakati unaweza kumuomba mwanamke mtoko (dates) kwa ajili ya kufahamiana zaidi na kubadilishana mawazo au uzoefu halafu anakwambia "sorry I'm in a relationship" lakini hataishia hapo atakwenda...
TAFADHALI SHARE UJUMBE HUU WA KUSIKITISHA ILI KINA MAMA WOTE WAUSOME NA KUBADILIKA.
Leo tarehe 27-04-2017 kuna dada amefiwa na mwanae wa miaka miwili aliyekuwa amelazwa hospitali kuanzia siku ya...
Za muda huu wadau. Hope mpo Ok.
Karibuni katika interview. Kama mada ilivyo ni pana ila Tutajaribu kuangalia kwa ujumla ni kwa namna gani suala la online dating kwa context yetu ya kitanzania...
Hellow wanajamvi.
Nina mchumba wangu yupo chuo fulani hapa jiji la Bashite. Kiukweli Mchumba wangu huyu ni mzuri kiasi na ninampenda sana kutokana na moyo wake wa kujitolea. Nipo nae huu ni mwaka...
Utafiti wa kisayansi uliofanywa na taasisi ya Animal Behavior umeonyesha kwamba mbwa wadogo madume wanapocheza na majike huwaacha majike wapate ushindi kwa makusudi, licha ya kwamba mbwa hao...
Msichana anayetaka kuolewa anicheki 0677287265 na miaka 25 . kabila lolote dini yeyote umri miaka mwisho 24 .mim ni mtumixh wa kuajiliwa ktk sekta flani kama upo serious piga namba hiyo
Habari zenu wakubwa.
Huu ni ushauri wa bure, bure kabisa kwa wanaume wenzangu, huu ushauri nawamegea tu kwa kua nawajali, hata siku ikitokea nimekufa najua nyie ndio mtakaonizika.
Oeni wanawake...
Ujumbe wangu kwenu Jumapili hii ni mfupi tu
Don't make her look stupid for loving you..
Just be Gentlemen, respect her feelins for u.
Usifanye mtoto wa watu aonekane kama mpuuzi mbele za watu...
Nimeskia sana kuhusu hawa bachelor sugu mtaani wanajulikana kama toxic bachelor
Aged 41-47, wengi wanakuwa wameamua kiwa single but not committed wao wanapenda bubaaa tuu na kukupa empty promise...
Mwana umleavyo ndivyo akuavyo.
Sikatai mtoto mpende utakavyo, lakini jiulize na kesho yake itakuwaje? Kweli mtoto wa kidato cha kwanza hajui kufua, kupika?
Daah! Gari la shule linaharibika hajui...
Habari wanajukwaa?
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa muhanga kwa kumpenda sana mwanaume kiasi cha yeye pia kujua hilo.
Kiukweli alinipenda na kunionyesha kunijali sana. Alisimamia kila nilipokuwa na...