Lis
JF-Expert Member
- Jun 2, 2012
- 471
- 346
Habari ya tarehe 28 wakuu, naomba mnisaidie kunifahamisha tafadhali, hivi inawezekana mwanamke akaingia kwenye siku zake siku moja na ya pili akawa amemaliza? Hali hii imenitokea mm hadi nikapata wasiwasi, hii ni Mara ya pili sasa, Mara ya kwanza ulikuwa ni mwezi Ulopita, na sasa hivi Hali imejirudia.
Naomba wenye uelewa na hili mnisaidie. Pia nataka kuuliza kama kunaweza kukawa na uhusiano na hili, nimejikuta napenda kutumia malimao katika chai hii inaweza Kuwa sababu inayochangia?
Je Kuna madhara gani katika Hali hiyo, maana nimejikuta napata wasiwasi sana.
Nawasilisha, naomba msaada wenu tafadhali.