Utofauti kati ya mwanaume na mwanamke

b wence

Senior Member
Dec 30, 2016
154
108
1. Kwenye mshituko; mwanaume hushituka halafu huangalia nini kimemshitua, mwanamke hushituka halafu huzimia hivyo ataambiwa na mwanaume kilichomshitua

2. Kwenye kupenda; mwanaume huanza kutamani alafu hupenda, mwanamke huanza kupenda moja kwa moja bila kumjua vizuri huyo ampendae

3.Kwenye kusaidia; mwanaume hutoa msaada alafu uhuzunika, mwanamke huuzunika badae ndo anakumbuka km msaada unahitajika

4.Kwenye maamuzi; mwanaume hufikiri ndipo hutenda, mwanamke hutenda halafu hufikiri

5.Kwenye kudanganya; Mwanaume hudanganya ili kumlinda mwanamke, mwanamke hudanganya ili kumkomoa mwanaume

6.Kwenye ugomvi; wanaume hupigana halafu hueshimiana, wanawake hupiga mikelele alafu kila mmoja hurud kwake, kesho tena

7.Kwenye ndoa; mwanaume hutafuta maisha ndipo huoa, mwanamke huolewa ndipo atafute maisha

8.Kwenye kukata tamaa; mwanaume hukata tamaa mapema ili jambo lisimsumbue, mwanamke hajui kukata tamaa hadi aumizwe

9.Kwenye kula;Mwanaume hushiba alafu huanza madoido, mwanamke huanza na madoido alafu badae hujilaumu hakushiba

10.Kwenye siri; Mwanaume hutunza siri hasa za aibu, mwanamke humueleza shoga yake badae hugombana nae baada ya kumrudia mwenyewe kwa siku 2 tu


Je ni kweli??
 
kwenye kufikiri mwanaume kuna muda hutumia kichwa cha chini
ila mwanamke hafikirii kabisa
 
11.Mwanamke Akitongozwa siku ya wanna tu yeye anawaza mtakavyokuwa mnaishi ktk ndoa, wakati mwanaume yeye anawaza jinsigani atakavyo mgegeda ikiwezekana siku hiyo hiyo. Hatupendagi ujinga sie
 
Kwenye tendo la ndoa mwanamke nguvu humuishia wakati mwanaume zinaongezeka


pia kwenye tendo akili ya mwanaume hufikia zero wakati akili ya mwanamke huongezeka..
 
Hakuna kitu kitamu kama ugomvi wa wanawake,dakika 88 maneno, siri zote za ndani na nje zinawekwa wazi, dakika 2 kushikana shikana blauzi,baada ya hapo wanahamishia ugomvi moyoni mwezi mzima.
 
11.kwenye kufika kileleni ,mwanaume huwai kufika kileleni, mwanamke huchelewa kufika kileleni
Hahaaaa.
Hii mkuu mara nyingine huwa inategemea, mwanamke akiwa anakuhusudu sana na nirahisi kumfikisha
 
Back
Top Bottom