Semina elekezi kuelekea msimu wa baridi

Semina elekezi kuelekea msimu wa baridi

The Tomorrow People

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
2,689
Reaction score
2,860
Kama title inavyo jieleza, picha ifuatayo inatoa Maelezo kuntu hasa kwa wale wasiotumia Contraception (uzazi wa Mpango) katika kipindi hiki cha baridi na mvua za hapa na pale.

Wasalaam.

03165874a33cdefd7b41e406d1e3c5e4.jpg
 
Hilo neno HATARI, naomba liondolewe hapo, manaake limewekwa kimakosa,
nna sababu & maana yangu kuwaambia hivyo
 
kalenda ni nzuri sana na mimi na mwenzangu tumekua tukitumia miaka yote hatujawahi kutumia kondom wala hayo madawa yenu!
 
Ukiangalia kwa makini hilo neno HATARI halikupaswa kuwepo hapo,
manake tunatakiwa tujiulize
je, hiyo hatari inawahusu wakina nani?
Je, ni wanandoa?
Labda niulize swali, kwani mwanandoa akipata mimba ile inaitwa hatari?
Duh, yani mtoto sikuhizi anaitwa hatari?
Ingetosha tu pangeandikwa MIMBA KUTUNGWA(siku za utungaji mimba).
Au kama walitaka kufidia ufinyu wa nafasi wangeandika neno UJAUZITO au MIMBA basi ingeeleweka
lakini sio kuandika HATARI.
Otherways itakuwa hatari kwa wale watu ambao wamefanya lile tendo kwa wiziwizi au kwa kukurupuka,
na kama ndo hilo neno limewekwa kwaajili ya watu wa namna hiyo basi maudhui mazima ya hiyo picha imeandaliwa kwaajili ya watu wa namna hiyo,
na kama ndio ivyo basi ujue tu ya kwamba lengo la hiyo picha sio kutoa tahadhari bali ni KULIHALALISHA TENDO LA WIZIWIZI.
 
kalenda ni nzuri sana na ni njia ya asili ya uzazi wa mpanngo changamoto ni pale siku zinapobadilika ghafla kutokana na sababu za ki homoni inaweza kumchanganya mwanamke akajikuta kabeba ujauzito bila kutarajia.
 
Mi nikikaza huwa nakojoa nje ili kuepusha hizo mimba maana hata hiyo njia siiamini 100% je hapo vipi?
 
nitapingana kidogo na huo mchoro!
kuanzia siku ya 6-11 ni siku salama kabisa,kuanzia 12-16 sio siku salama kabisa hasa siku ile ya 14 ambapo ukigusa kwa namna yoyote lazima unate,kuanzia 17-22 ni siku salama kabisa kwasababu pale yai linapokuwa halijakutana na mbegu za kiume hupata utando(ombwe) ambalo nguvu za kiume haziwezi toboa huo utando na ikumbukwe katika kipindi hiki yai linakuwa katika njia ya kuja katika uterus,kuanzia 23-27 ni siku hatari kabisa kwasababu yai linakuwa liko tayari kabisa kupokea nguvu za kiume ili kutungisha ujauzito pale inaposhindikana ndo siku ya 28 hupasuka na kutoka kama damu chafu kupitia uke na hapo ndo mwanamke huingia tena mwenzini na tunaanza tena kuhesabu siku ya 1.
 
Ukiangalia kwa makini hilo neno HATARI halikupaswa kuwepo hapo,
manake tunatakiwa tujiulize
je, hiyo hatari inawahusu wakina nani?
Je, ni wanandoa?
Labda niulize swali, kwani mwanandoa akipata mimba ile inaitwa hatari?
Duh, yani mtoto sikuhizi anaitwa hatari?
Ingetosha tu pangeandikwa MIMBA KUTUNGWA(siku za utungaji mimba).
Au kama walitaka kufidia ufinyu wa nafasi wangeandika neno UJAUZITO au MIMBA basi ingeeleweka
lakini sio kuandika HATARI.
Otherways itakuwa hatari kwa wale watu ambao wamefanya lile tendo kwa wiziwizi au kwa kukurupuka,
na kama ndo hilo neno limewekwa kwaajili ya watu wa namna hiyo basi maudhui mazima ya hiyo picha imeandaliwa kwaajili ya watu wa namna hiyo,
na kama ndio ivyo basi ujue tu ya kwamba lengo la hiyo picha sio kutoa tahadhari bali ni KULIHALALISHA TENDO LA WIZIWIZI.
Wisdom talks.
 
Hiyo kalenda, inawahusu wa siku 28, 29.. Ila wale wa siku 32, 35..siku za kupata mimba ziko juu
 
Back
Top Bottom