Wanajamii habari zenyuuu!! wajameni kuna kautafiti kapi eti unaweza ukagundua kwenye mitandao ya kijamii especially fb kwamba huyu mwanamke au demu anakupenda? coz mi binafsi kuna kautafiti nimekaona moja ni vijembe ingawa unaweza ukawaza pengine yeye mbona ana marafiki wengi kuliko wewe pengine anampiga kijembe jamaa yako but unajiuliza kwa nini vijembe hivyo ukifanya kuchunguza kama vinakutachi vile, mfano kuna demu tulikuwa tunachat sana but nikamunfollow insta wapo kama saba hivi niliwafanyia hivyo kwa lengo kwamba si tunaonana nao fb but nikaona ni vijembe kwa hao madem mbaya zaidi kuna mwingine nilimu anfollow kipindi cha uchaguzi ule mi nilikuwa team lowassa yeye alikuwa magu ebwana wewe naona vijembe kinoma na huyu nilihisi kabisa ananipenda coz alihama mkoa kuja mkoa niliopo tu coz nilijidai nilimuona maeneo fulani ndani ya mkoa niliopo yaani mbaka sasa nimeona kama anakawivu fulani ingawa ana mtoto na ni mrembo, wengine full viujumbe vya mafumbo mbaya zaidi kuna mmoja ambaye naye nilimu anfollow nilimpa hi fb inbox akanichunia baadaye akaweka picha mbele ya picha akaandika unasemajeee tena akaweka kama nne hivi zote akaweka maandishi hayo kisha chini akaandika ulisema huta nitosa kwenye shida na raha , sikukoment akatoweka mbaka mwezi ukakatika akarudi na picha ya mwanaume akijitapa ndiye mumewe, mwingine naye hivyohivyo nilivyomuanifollow hata nikikoment kwenye picha yake ananiruka anawajibu wotee mbaka nilijisikia vibaya coz anatolewa macho na wengi coz ni bonge la mrembo na wote hao sijawahi kuwatamkia mapenzi ila nahisi kuna vijembe vinaendelea so nyie wanagreat thinker hivi utajuaje mwanamke anayekupenda kwenye mitandao especially fb?