Ndomana hatuendelei, kumbe sababu ni hii

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,075
17,237
Mwanamke anamuita mpenzi wake,
''Baby, njoo
unifuate mjini nimekumiss,''
unatoka Tegeta
unaenda posta, unapita sheli unaweka
mafuta,
mengi tu,...haya umemchukua mmeenda
hotelini kupiga mechi ya mchangani, hoteli umelipa
mwanaume tena ye katulia tu...Si ajabu hata kwenye mechi ye katulia tu kama anasubiri siku ya
Ufufuo,
viuno unakatika wewe tu kama Nyoshi el
Saadat...
haya, Makelele wakati wa mechi tupige
wote na si ajabu mimi ndo nimepayuka kuliko
wewe...

Tumemaliza,nimekurudisha kwenu Mbagala, mafuta tena maana gari haitumii Nivea lotion...
Halafu bado
tena na kesho ntapigwa mzinga wa laki 2 sijui za
nini na nini, ukimnyima anasema eti unanitumia
unadhani nakupa bure...
khaa, sasa nilipie nini
wakati raha tunasikia wote?
Na makelele nimepiga
mimi zaidi yako, na viuno mimi kama steji shoo wa Mashujaa Band? Mahusiano ya Kimapenzi
sometimes ni kama Master and Slave hivi,
kuna
mmoja atakuwa tu mtumwa, ndo maana Wanaume
hawajengi,
halafu mnawasema, watajenga saa
ngapi? ndo maana wanaona bora wabahatishe
kununua magari ya mikopo, maana kila mkicheza mechi unapigwa kipira cha mzinga,
usipotoa na
kipochi manyoya hupati.Kweli uanaume kazi.
Kwa hisani ya watu wa Marekani!
 
Tutafanye sasa na nisipokuridhisha unaenda kunisema kwa mashoga zako.. kumbe haujui hapo nilitoka kubeba box nimechoka ili kidogo upate za usafiri
Eish!
Utafanya kumridhisha ila ikitokea ukakosea padogo tu lazima utangazwe kwa mabest

Kimsingi anayekutangaza mapungufu yako kwa mabest zake hakupendi na itashangaza kama ukiendelea kustick kwake
 
Eish!
Utafanya kumridhisha ila ikitokea ukakosea padogo tu lazima utangazwe kwa mabest

Kimsingi anayekutangaza mapungufu yako kwa mabest zake hakupendi na itashangaza kama ukiendelea kustick kwake
Nitajulia wapi kama ametangaza..

Namwachia Mungu tu mimi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom