Mr Suprize
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 869
- 961
Habari wana MMU!
Nimepatwa na tatizo la mawasiliano ndani ya siku za hivi karibuni katika mahusiano yangu na mtu nayempenda.
Tulikuwa tunawasiliana vizuri mwanzoni ila juzi mei mosi nampigia simu hapokei,text hajibu, iwe wasap or fb ila kote zinaonyesha seen,.
Jana nikamshirikisha rafiki yangu anisaidie nikampa namba akampigia akapokea, rafiki yangu akamuuliza kuna tatizo gan akajibu "hakuna tatizo lolote ila nipigie badae tuongee vizuri simu inakata chaji" hapo ilikuwa SAA 9 alasiri.
usiku jamaa akampigia Mara nyingi hakupokea akatuma text hakujibu..Leo tena jamaa yangu amempigia Mara kibao shemeji yake hajapokea simu wala kujibu text. Mimi mwenyewe pia nikafanya hivyo but sikufanikiwa hadi sasa.
location yake na Mimi tupo mbali kidogo kutokana na ishu za kikazi , pia taratibu za kuoana bado hazijakamilika so tupo kama wachumba. mahusiano yamedumu zaidi ya mwaka mmoja sasa.
Binafsi sijamkwaza kwa lolote baya ila nashindwa kumwelewa, na nini nifanye ili mawasiliano yangu na yeye yarudi kwenye mstari? nisaidieni wana MMU ila msinikatishe tamaa maana nampenda kweli