Ipi ni zawadi nzuri kwa mtoto mchanga wa X wako?

kyagata

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
8,925
16,831
mambo wakuu?
X wangu kajifungua mtoto wa kiume ana mwezi mmoja,mimi ndiye chanzo cha mahusiano kuvunjika.toka tuachane tumekua marafiki wa kawaida tu.sasa kapata mtoto,je nimnunulie zawadi gani?
 
mambo wakuu?
X wangu kajifungua mtoto wa kiume ana mwezi mmoja,mimi ndiye chanzo cha mahusiano kuvunjika.toka tuachane tumekua marafiki wa kawaida tu.sasa kapata mtoto,je nimnunulie zawadi gani?
kuna vitu haviitaji ujuaji kujidai unajali sahivi wakati huo ulishidwaje uweze leo uho ni unafkiiiii... mtu mmeshaachana anamaisha yake tena na kujifungua kashajifungua wewe unajipeleka na vizawadi vyako mbio unaenda kumpongeza kidume mwenzio kwa kazi nzuri aliyoifanya au? kama mlishaachana fanya yako mwache na maisha yake.
 
Kama uko nje ya Dar mpandishe bombadier mpaka Dar mkapige picha ya pamoja daraja la Kigamboni.
 
Mtoto mchanga haitaji vitu vingi sana!!!
Kama hutaki kuacha kumbukumbu nunua pampers, wipes,... Ila kama unataka kuacha kumbukumbu nunua vinguo au tuviatu, baby bottles
 
zawadi nzuri mi naona ni mrudiane tuu ..maana kama unamwachia mzigo sana mambo ya single mother kupata ndoa tena probability huwa ni 0.2
Kumbe mtoto ni wake?

Basi anunue nguo, pampasi, wipes na ampe mama hela aongeze vingine
 
mambo wakuu?
X wangu kajifungua mtoto wa kiume ana mwezi mmoja,mimi ndiye chanzo cha mahusiano kuvunjika.toka tuachane tumekua marafiki wa kawaida tu.sasa kapata mtoto,je nimnunulie zawadi gani?
Zingatia mtoto. Mtoto ni mtoto, je mtoto anapewa zawadi gani? Unapoingiza mambo ya ex ndio unajikuta unakwazika na hujui nini cha kumpa mtoto.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom