luse
JF-Expert Member
- Jun 9, 2012
- 592
- 1,044
Watu wanajisahau sana siku hizi, kazi kula vya wenzao tu.
Just posting this video ilikuweka reminder kwa wale wanaopenda kugonoka na wake za watu, kuwa hata hili linaweza likawatokea na wao pia.
Zamani watu walikuwa wananatana, naona hii style ya kamata mwizi imerudi tena.
The video below, ni watu wamenatana baada ya jamaa kukutwa anagegeda wife wa rafiki yake, tena kupitia ule mtandao pendwa. This happened somewhere in Kenya recently.
NI AIBU. So guys next time kabla hujataka kugegeda mke wa mtu, fikiria aibu utakayokumbana nayo baada ya kukutokea kasumba kama hii.