Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Nimejaribu kufuatilia mitazamo na hisia za wanawake wangi walioachika au waliozalishwa na kutelekezwa na kugundua wamepokea vizuri sana tukio hilo na wanaliunga mkono kwa nguvu kubwa. Pia limeonekana kuwa tukio la faraja kwao kwani nao wana imani kuwa hakuna kikwazo cha wao kupata mume handsome kama aliyempata Flora. Tena kinachowazimisha zaidi ni kugundua kuwa mume wa Flora sio tu HB, bali pia ni msomi na mwenye kisu kirefu.
Kwa kweli Flora amefanyika faraja kuu sana kwa haw single mothers.
Kwa kweli Flora amefanyika faraja kuu sana kwa haw single mothers.