Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,788
- 2,690
Kwa hisani ya kiumeni.
1. Tabia ya kuchukua namba watu humu ndani na baadae kuwasiliana kisha mkishindwana huko unakuja kumwaga umbea wako kama mwanamke wa kizaramo ni Ushamba na ulofa.
2. Kuweka Profile isiyo yako. Yaani kumweka mwanaume mwenzako au mwanamke mwenzako ni Ushamba na ulofa. Bora umuweke Mama, mke, mume au ndugu yako kuliko kuweka watu ambao hujawahi hata kuwaona ana Kwa ana na ukizingatia ni wazungu. Unamuweka mtu ambaye yeye akiambiwa akuweke kwenye Dp yake hatakuweka. Kama unatabia hii wee ni kichaa usiyejitambua.
3. Unahonga wanawake ambao na unajiona ni mwanaume. Wewe ni chizi uliyebakiza kuokota makopo. Ni Ushamba kuhonga mwanamke ambaye si Mke wako. Na hii hutokea Kwa wanaoanza mapenzi ukubwani.
4. Ni Ushamba kutongoza tongoza kila mwanamke unayemuona. Huu ni ulofa uliovuka mipaka. Wanaume wanaotongoza tongoza wanawake ovyo mara nyingi hawana nguvu za kiume.
5. Ni Ushamba na Ulofa kutamani kitu usiokuwa na uwezo kukipata. Yaani unakuta jitu linatamaa na vitu vikubwa wakati akili yake ndogo.
6. Ni Ulofa kushabikia mambo yasio na maana kama Mpira wa nje, Dini kutoka Ulaya na uarabuni. Ndio maana Afrika tunaitwa manyani.
7. Ni Ulofa na Ushamba Kutumia majina ya mataifa mengine kama Michael, Andrew, Janet, Sophia, Mwanaisha, Ashura n.k.
8. Ni Ulofa na Ushamba kutamani na kudharau kazi ya mtu mwingine ambaye humpi hata Mia kuendesha maisha Yake.
9. Ni Ulofa na Ushamba kumsikiliza mwanamke Kwa kila kitu. Labda uwe ndani ya jeneza.
Wakuendelea aendelee
Kwa hisani ya kiumeni