Ukimpenda mtu....utakuwaje na hasira naye bila sababu? Labda unapenda ile idea yakuwa na boyfriend kwa ajili ya kusaidiana kimawazo na kiuchumi zaidi...ila bado hujampenda ku share naye mwili wako. ....Nampenda
akikujibu unistue mkuuni tendo la ndoa au ngono mkuu?
akikujibu unistue mkuu
Mimi. Nimwembamba sinakitambiAiseee ...
Ushawahi kupiga friend match??? Hebu jaribu uone kama Hali Ni hiyo hiyo
Ila kama umeongezeka unene na kitambi cha kishkaji lazima hamu ipotee.
Cha msingi, piga zoez , kula vyakula vinavyo leta ashki.
Acha mawazo mengine wakati wa tendo. Sahau kama tupo za za JPM.
Mwambie mpenzi wako jinsi unavyojiskia