Ushauri: Namuonea msichana aibu

shoo61

Member
Aug 20, 2014
39
11
Kwanza kabisa, "habari zenu wana JF",

Kuna ishu inanitatiza sasa nashindwa kuelewa, kuna msichana fulani nasoma nae chuo hapa Dar kuna mambo flani nashindwa kuelewa tangu nianze kuona hisia za tofauti (kumpenda, kumuelewa) naanza kumkwepa I mean nashindwa hata kumface.

Kinachonishangaza zaidi sio kawaida yangu kumuonea aibu msichana like that mpaka yeye mwenyewe ananiuliza nimekuaje, i mean nakosa ata say nikimuona au akinisogelea, haijawai kutokea msichana akanipa shida hivi b4.

Swali huyu msichana kanifanyeje?
 
Hyo Nouma Sana unapoteza kujiamini kabisaa ukimuona demu, moyo mbio mbio Dah
 
Fata kilichokupeleka shule dogo.nakutania bwana na kabaridi haka ukute na yeye kakuelewa,tafuta gomba dharba moja tu,isage ukimaliza hapo hyo confidence utakayokuwa nayo si ya nchi hii,unaweza mtokea hata mama samia
aisee Mkuu kumbe ndio dawa Yao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom