NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,388
Habari za Weekend waungwana,
Kuna jambo hua nashindwa kulielewa hasa kwa baadhi ya wadada, unaenda kukutana na mpenzi wako why lazima uende na shoga? Unaenda nae ili iweje? Au why asikilize mazungumzo yenu? Hiki ni kisa cha kweli kimemtokea mtoto wa mama mdogo alikua na mpenzi wake sasa most of the time akienda kuonana na mpenzi wake atamchukua shoga yake eti anamuita shoga kipenzi.
Mda umekwenda akaanza kuona jamaa amebadilika na shoga kipenzi nae hana time nae mwisho, anamwambia shoga ebu jaribu kuongea na mpenzi wangu ujue kama kuna kitu nimemkera, shoga anachomoa, anakuja kushangaa kuona shoga kipenzi ameshavalishwa pete na card za michango zimetolewa ndio anakumbuka shuka kumeshakucha.
Wanawake wenzangu jaribuni sana kuyaweka mambo yenu hasa ya wapenzi private haina haja kuchukua fujo wewe uenda ukaweza kusema na moyo wako lakini baadhi ya wanawake ubinadamu hawana kwa wenzao na mara nyingi sana naona kwa wanawake hii tabia kwa wanaume sio sana.
Wanawake tusiuze utu wetu kisa mwanaume kama ameweza kumsaliti mpenzi wake wewe atashindwaje kukusaliti?