Power to the People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 1,198
- 900
Jana usiku nilikuwa naangalia taarifa ya habari on Citizen TV, kuna mama mmoja mwenye hasira kweli kweli alielezea kuwa yeye pia ni mke halali wa Mwanasiasa Otieno Kajwang (mwanasiasa wa hapo jirani) tena wa miaka 19 na wana watoto wawili pamoja. Huyu mama alikuwa anashout na kujipiga kifuani apate ruhusa ya kuangalia mwili huyo mume wake na alileta mtoto wake mmoja.
Nikabaki najiuliza mwanamke ambaye anaweza kujitetea kwa kiasi kile
Hebu wadada wa JF waje waseme wakijipata kwenye situation kama hiyo, mchepuko permanent anaitwa mbele ya haki utafanya nini? (and am not saying mna au hamna michepuko) just want your thoughts on this. Na kama kuna mtu alishawahi kupata shock of her life mpaka machungu ya kufiwa mume yakaisha atuambie alijisikiaje na situation ilikuwaje.
Nikabaki najiuliza mwanamke ambaye anaweza kujitetea kwa kiasi kile
- alishindwa vipi kuhakikisha mume wake amemtambulisha yeye na watoto kwa mke mkubwa na familia yote?
- Kwa nini hakujipeleka kwa utambulisho wakati huyo mume yuko hai kama ni mke halali
- Na kwa nini alipeleka mtoto huku akijua alikuwa anaenda asikotambulika