STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,075
- 17,237
PART 1: Baby kabla yangu umekuwa na Ma-Ex wangapi
GIRL: mmmmm(huku anaangalia juu,anahesabu 1,2,3),wewe ni wa 3..
Sijawahi kuona Msichana anasema ana ex 28, wao woote wanajua 1,2,3,4 mwishooooo!!!Sijui waliambiwa 4 ndo namba ya bahati!
Wewe Mwanaume na ndevu zako,kabisaaaa,unaacha mambo ya msingi unaanza kumuuliza Msichana alikuwa na Exwangapi kabla yako..Idadi itakusaidia nini???
Unataka ujue sura zao uwachore???Acha kujigeuza afisa wa sensa, kama amekupa moyo uliomuomba jukumu lako ni kumpenda na sio kuuliza maswali
ya kibwege,akijibu 32 unataka uwaajiri au???
Get a life