Ushauri kwa wana JF kuhusu suala la mapenzi bila kinga

Ushauri kwa wana JF kuhusu suala la mapenzi bila kinga

osama BLD

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
561
Reaction score
295
Wana JF wenzangu napenda ushauri wenu

Mimi nina 35 yrs na ni baba wa watoto wanne. Bahati mbaya nimetengana na mama yao ndani ya miaka 2 iliyopita. Naishi Dar mwaka huu wa15.

Tangu naingia kwa kweli nimetembea na wanawake nisiojua idadi yao wanaeza wakajaa mwendokasi 5 kubwa, Mungu nisamehe. Lakini tangu hapo mwanzoni sikuwahi fanya mapenzi bila kinga miaka yote na nilipokuwa namsikia mwanaume mwenzangu akisema kafanya bila kinga nilimuona mtu wa ajabu na huenda aliefanya nae kamutoa Buguruni au Ambiance.

Sasa baada ya kutengana na mama watoto wangu nilikutana mdada mmoja anafanya kazi Barrick Gold Mining as an expeterate, she is 34. Basi nikaanza nae baada ya kupima ila mimi licha ya kupima sikuwa tayari kufanya bila kinga. Mwisho wa siku nimejikuta nimeenda bila kinga sasa baada ya hapo nimeshindwa kujizuia kila nikikutana nae situmii kinga.

Sielewi ni shetani gani huyu mpaka sasa baada ya kutengana na mama watoto nimetembea na wanawake karibu 40 bila kinga.

Ushauri ndugu zangu awali sikuwa hivo
 
Duh, kidogo tunafanana ila mimi mke ninaye. Nje kinga muhimu ila kuna ajali za hapa na pale.
 
Sijaelewa kwani dar kuna mgold?barrick iko wapi?mbona huyo wa barrick umemtaja sana kuliko hao 40?ina maana yeye pekee ndio ana kacheo ka kutangazwa sababu wengine inaweza kuwa ni housegirls,mama lishe,wauza matunda etc?

Hili neno maana yake nn? expeterate
 
Kha we jamaa nae umezidi, wanawake 40 ndani ya two years?

Kweli nimeamini ulichosema kuwa wanawake uliowahi kutembea nao wanajaa mwendo kasi kubwa tano, ikiwamo na madereva wake.
 
Ya matumaini haifiki hata 5 mwili Wangu naufahamu hata mosquito akinipitia nalazwa
Ukisha jitambua achanana na tabia hiyo. Ni rahisi sana kama utataka wewe mwenyewe bila kushurtishwa na chochote
 
  • Thanks
Reactions: 911
Zamana mm nilikuwa km ww.ila K tamu asikwambie mtu lkn isiteme km ya WOPA
 
Wana JF wenzangu napenda ushauri wenu mi nina 35 yrs na ni baba wa watoto wa4 bahati mbaya nimetengana na mama yao ndani ya miaka 2 iliyopita. Naishi Dar mwaka huu wa15 tangu naingia kwa kweli nimetembea na wanawake nisiojua idadi yao wanaeza wakajaa mwendokasi 5kubwa mungu nisamehe. Lakin tangu hapo mwanzoni ckuwai fanya mpnz bila kinga miaka yote na nilipokuwa namsikia mwanaume mwenzangu akisema kafanya bila kinga nilimuona mtu wa ajabu na huenda aliefanya nae kamutoa buruguni au ambiance. Sasa baada ya kutengana na mama watoto Wangu nilikutana mdada mmoja anafanya kaxi barrick gold mining as expeterate she is 34 basi nikanza nae baada ya kupima ila mi licha ya kupima ckuwa tiyari kufanya bila kinga mwisho wa siku nimejikuta nimeanda bila kinga sasa baada ya hapo nimeshindwa kujizuia kila nikikutana nae ctumii kinga nimeshindwa shetani gani huyu mpaka sasa baada ya kutengana na mawatoto nimetembea na wanawake aru40 bila kinga ushauri ndugu zangu awali ckuwa hivo.. naombeni ushauri cjui kama ni stress zimefanya
kuto kutereza ni ngumu sana
 
Mimi hivo hivo sema natumia mbinu ya Zuma.......hahaaaaa
 
Back
Top Bottom