Newera
Senior Member
- Mar 8, 2017
- 132
- 202
Wadau Habari mm ni kijana Nina mke wangu mmoja yapata mwezi mmoja mke wangu alinipa ombi niongeze mke wa pili ila kwa mashart ya kumuoa rafiki yake kipenzi ambae wamesoma wote chuoni kwa miaka mitatu mtihani huu ni mzito shemeji awe mke nashindwa kumjibu mke wangu hadi sasa na rafiki yake anakuja nyumbani wanapiga stori tangu suala hili lijitokeze akija nakosa zile confidence nilizokua nazo awali kozi nahisi wanaongea mengi, kigezo mke wangu Anadai rafiki yake ni mzuri na anatabia njema hataki ampoteze na dini inaruhusu
je nifanyeje ushauri wenu ni muhimu sana
je nifanyeje ushauri wenu ni muhimu sana