Kibailojia Mtoto wa kiume jogoo huwika siku ya pili baada ya Kuzaliwa, Je Kitu kipi wanakifikiria?

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Wakuu Watoto wadogo Kabisa akiwa na Siku ya Pili Jogoo anawika Asubuhi na Siyo lazima Asubuhi tuu Mimi Mwanangu Mda mwingine hata wakati anaogeshwa Unakuta Jogoo Kasimama najiuliza huyu Mtoto anakua anafikiria nini hasa Kichwani Mwake.

Najua Mtoto wa miaka 14 akiwika Moja kwa Moja anakua anawaza mambo ya Kikubwa Lakini je ni hadi afike kwenye Umri huo Ni Mda gani Mtoto huanza Kutamani? Ni ile anazaliwa tuu au mpaka Umri Fulani?

IMG_20170509_120328.jpg
 

Nimeipenda sana hiyo picha ya huyo dogo.

My kinda baby boy!

Mimi naamini mambo ya kutamani ni mambo ya kiasili tu.

Kutamani hakufundishwi/ fundishiki.

Ukiwa ni wa kiume na mwenye homoni za kutosha za testosterone hayo mawazo/ hisia za kutamani zitakuja moja kwa moja.

Wakati mwingine si lazima upatwe na hisia za kutamani.

Hata ile asubuhi ukiamka [hata usiku ukiwa umelala] dhakari itasimama.

Hiyo ni kwa sababu mwili ukiwa umetulia [usiku ukiwa umelala] unakuwa unazalisha testosterone za kutosha.

Homoni hizo ndizo husababisha dhakari kusimama.
 
Huko home Danny kuna wakati akiwa idle hujilaza na kuingiza mkono huko kunako na kuchezea vyombo kisha kikisimama anajilaza kwa tumbo,dogo ana miaka mi3.nimekuwa naangalia sana nakujiuliza ninini anachomaanisha?mkuu naomba wataalamu wakija hapa unistue na mimi niipate hii elimu.
 
Huko home Danny kuna wakati akiwa idle hujilaza na kuingiza mkono huko kunako na kuchezea vyombo kisha kikisimama anajilaza kwa tumbo,dogo ana miaka mi3.nimekuwa naangalia sana nakujiuliza ninini anachomaanisha?mkuu naomba wataalamu wakija hapa unistue na mimi niipate hii elimu.
Daaah Nimecheka sana hawa wanazaliwa wanajua au? haa! haa!!
 
Daaah Nimecheka sana hawa wanazaliwa wanajua au? haa! haa!!
Kuna siku nilimfuatilia yaani hilo jambo hulifanya akiwa ktk hali ya utulivu mkubwa,huwa kama anawaza kitu hivi.nahisi Mungu amewapa ufahamu kidogo ktk mambo yale.
 
Kuna mtoto wa jirani yangu bado mdogo akiwa ananyonya ziwa la mama yake kwanza analazimisha awe amesimama, kisha anajishikashika kajidushe kanadinda anacheeeka mwenyewe
Yani mi mwenyewe huwa najiuliza
Hivi hawa watoto wanazaliwa wanafahamu haya mambo au..!?
 
Logic ni mdogo sana .. Uume Husimama.Kutokana na Concetration ya Damu kwnye Eneo Husika..
Swala la Uume kusimama Sometimes hutokea Unvoluntary kutokana na Mazingira .
Sehemu za Baridi Uume Huitaji Kumaintain Joto lake na Hivyo Kufanya Cincetration ya Damu katika eneo hilo kua Kubwa...na ndio maana si kwa mtoto tu Bali hata kwa Mtu mzima unapoamka Au Katika sehemu za Baridi hali hiyo hutokea
 
Muone huyu dogo sasa...naye anathaminisha
 

Attachments

  • 1494355474249.jpg
    1494355474249.jpg
    71.5 KB · Views: 48
Back
Top Bottom