Wadau nina msichana nampenda sana na yeye ananipenda zaidi.
Ishu ni kwamba mapenzi yamekolea kiasi kwamba yamevuka matarajio yangu, mimi nilikuwa namchukulia kama msichana wa kula nae maisha tu...
Hello everyone
Just thought i should try, i might get lucky.
I am 27 yrs old n 2 weeks pregnant, unfortunately i have to choose between being a single mother and abortion (God forbid).
But...
Assalam alaikum.
Naitwa AbdulMalik na nina kisa changu napenda niwajulishe. Nimeoa wake wawili. Nilimuoa mke wangu wa kwanza Nadiya nikiwa na umri wa miaka 31 na yeye akiwa na miaka 21.
Yalikuwa...
Amani iwe juu yenu Waungwana,
Miezi kadhaa iliyopita tume hudhuria ndoa iliyofungwa kati ya Kaka na Dada Mabinamu (Mtoto wa Mjomba na Shangazi), Harusi ilifana na pande zote mbili zilishiriki...
Kwa wale waliooa au kuolewa wanalielewa hili. Kuna wakati mtu anaweza kumchukia tu mke wake au mume wake bila sababu ya msingi. Na hii iko dhahiri pale mtu akikosewa tu kidogo anakasirika sana...
Habari za leo ndugu zangu,
Nimekua na mahusiano na mpenzi wangu mpya niliempata hivi karibuni lakini cha kushangaza hana siri yupo kiswahili sana kila kitu yeye ni kutangaza juzi kanunua kiwanja...
Ukiona mwanamke anapenda wanaume wenye pesa hata kama ni mpenzi wako mchunguze tu huo ndio udhaifu wake mkubwa hana lolote kitandani, ila anakuwa mwepesi kwenye kupiga mizinga balaa na ukimwambia...
Kwetu Afrika, Tanzania ikiwemo, jambo la kusingiziwa motto/watoto husemwa sana. Hapa, mwanamke humtaja na kumwambia mwanaume fulani kuwa ana ujauzito wake, jambo ambalo si la kweli. Mwanaume huyo...
Hivi karibuni nilileta uzi uliosema; Naomba ushauri mapenzi yananitesa
Wakuu nashukuru kwa ushauri wenu nimeufuata na sasa niko single.
ANGALIZO; No pm sina mpango kwa saivi, na enjoy this life...
Nilivyopata likizo mwezi April nikaamua nirudi nyumbani kwa wazazi kuila likizo yangu huku nikiwa namuuguza dingi maana ni zaidi ya miaka 4 nipo mkoani kikazi.
Mitaa ya home kumebadilika sana...
MWANAMKE JIFUNZE HAYA.
1. Ukiwa Kama mwanamke, pale panapotokea maudhi dhidi ya mpenzi wako, nyamaza kimya, ukimya wa mwanamke humsumbua akili mwanaume. Atahisi kuna jambo fulani kichwani mwako...
Inaonesha ni mgeni kaja kutembea kwa dada'ke, hapo alipo mi hua napita tu kama njia ni mtoto mzuri mwenye lordeyes, mweusi, mkarimu, mwenye aibu nyingi sio siri nimemzimikia kwa kweli, tatizo...
Nina mpenzi wangu ambaye tumekuwa ote toka nikiwa shule ya msingi mpaka saivi nimefika Chuo Kikuu nasoma hapa Chuo Kikuu cha mtakatifu Augustine (SAUT) Tawi la Mwanza mwaka wa Pili.
Nimekuwa nae...
Ukiwa unapendwa, basi heshimu hisia na Umuhimu wa anayekupenda, kumbuka Umuhimu wa mtu huja baada ya kuondoka.
Mpende mpenzi wako kwa Hali yoyote aliyonayo, Ile kauli ya kusema wanaume wote...
Jamani ndugu zangu, niko kwenye hali mbaya sana naandika hii mada nalia kwa kitendo alichonifanyia mke wangu, mke wangu mimi ni mwanajeshi tena ana cheo kikubwa tu. Leo mida ya saa1 nilikuwa...
Habari za J2 wapendwa,
Iweje mtu mliaeachana akaenda na miaka ikapita Leo anakutafuta eti ninakujulia hali wakati na wewe uko kwenye penzi tamu huko uliko. Anataka mpenzi wako mpya ahisi una...
Nimekutana na mama mkwe kwenye kijiwe cha kula pweza pale ferry jana hiyo jamani nikataka kukimbia lakini nikajibaraguza na kuanza kujichekesha chekesha. Sasa sijui ataenda kunisimulia kwa watu ama vp
Habarini Wadau,
Hilo nililoliandika nimelifanyia utafiti wa kina.
Tofauti na mabinti/wanawake waliosoma courses zingine...waliosoma Law wengi hawajaolewa ila wanamegwa tu kisela na wengi wao...