Me too
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,377
- 9,297
habari za usiku wana Jf.
samahani tujuzane kama na nyie mmewahi kujihisi kuchoka kutongozwa / kutongoza na umri gani mlijihisi kuchoka hiyo hali kiasi kwamba ukitongozwa / tongoza unazarau au kupotezea yaani upate jibu la ndio au haapana kwako haidhuru wala haisumbui akili.
kama ukimkubalia / kubaliwa napo unakuwa kwenye relation upo kimzahamzaha na kutojali kwingi.
binafsi hiyo hali ninayo kitambo sana mtu atanipenda ila mimi simtilii akilini kiivo
tutapanga meeting yaani ntamjibu hadi dakika ntayofikia meeting ilipo lakini siku ikifika siendi au ntachelewa nikifika nipo juujuu mpaka nilichoitiwa siambiwi au akiniambia naitikia tu moyoni nasema ni utani tu.
nikitoka hapo nikikaa mbali nae siku 2 au 3 nishasahau alichonisisitiza tukionana inabidiaanze upya.
sasa huwanajiuliza huwa kuna mda unachoka kucare au kutongozwa /tongoza?