Mitongozano.com: Ni matukio gani hutoyasahau?

Abuu Said

JF-Expert Member
Jul 5, 2015
4,010
4,762
Wazee wa MMU najua humu kuna matukio mengi sana ya kimapenzi ambayo yameshawahi kututokea katika mambo ya kutongoza wengine wamepitia kwenye vipindi vigumu sana mpaka kumpata ampendae hii sanasana imetutokea sana sisi wanaume sometime tunafikia hatua hadi ya kukimbizwa na Mbwa kisa Msichana au kuletewa kesi nyumbani kisa unamfuatilia Mtoto wa watu na wengine walishawahi hadi kuionja Sero kisa mapenzi.

Hebu tubadilishane mawazo hapa na changamoto tulizowahi kupitia. Mimi kuna hii changamoto moja nilishawahi kuipitia ktk maswala haya ya kutokea Dem. Niliendaga Dodoma Field sasa nilipofikia hapo kwa ndugu zangu jirani kulikua na mtoto mmoja mkali sana aliyeuteka moyo wangu.

Jumapili moja nikamlia Rada kwao nikavizia yuko peke yake nikaenda kwao mtoto bila hiyana kwa kuwa hua ananionaga jirani pale na wamezoeana akaona si vibaya kunikaribisha mpaka Sebuleni ktk story story za hapa na pale mara vuup Bimkubwa wake huyo kanikuta nimekaa na Binti yake Kochi moja alafu mi nilikua nimepiga bukta flani laini called Fiesta kwa wanaozijua na Singlend Dogo kwa kua alikua home alikua ametupia Kanga moja na Blauz juu alafu kwa kua nilikua na uchu Dushe lilikua kama limeinuka flani hivi basi daah ilikua noma sana Bimkubwa hakutaka kureact palepale ila mtaani story zikazagaa nimefunaniwa alafu ndio nilikua mgeni nikatamani Field iishe nirudi zangu Dar.

Yapo mengi sana ila hili sito lisahau kuna moja ambalo nilimficha mtoto chooni baada ya kukosea timing. Wazee na madogo walitoka si unajua ukishaanza kukua flan hivi unaanza kupotezea ile mitoko ya kifamily nikajua hapa kurudi mpaka night Kidume nikavuta mtoto ili nikae nae mpaka jua linazama flani hivi nimruhusu, basi.... daah.. kufika mida flani hivi ya saa 10 jioni tumetulia sitting room nasikia muungurumo wa Gari kupiga chabo Dirishani members wamerudi alafu madogo ndio mbiombio wanakimbilia mlangoni ikabidi faster nimwambie mtoto akimbilie chooni maana najua wazee wakiigia ndani kimbilio lao huwa chumbani na madogo wasipostay sitting room basi wataingia vyumbani na madada kimbilio lao hua Jikoni basi kama nilivyootea wazee wakaingia pale moja kwa moja mpaka chumbani kwao na madogo nao wakaishia siting room kwanza hapo ndipo nilipopata upenyo wa kumtoa Bibie hii nayo naikumbukaga nikiendaga home kusalimia foolish age mbaya sana.


Haya sasa wanaume wenzangu a.k.a Papuchi's Hunter hebu elezeni yaliyowasibu ktk harakati hizi
 
Wazee wa MMU najua humu kuna matukio mengi sana ya kimapenzi ambayo yameshawahi kututokea ktk mambo ya kutongoza wengine wamepitia kwenye vipindi vigumu sana mpaka kumpata ampendae hii sanasana imetutokea sana sisi wanaume sometime tunafikia hatua hadi ya kukimbizwa na Mbwa kisa Msichana au kuletewa kesi nyumbani kisa unamfuatilia Mtoto wa watu na wengine walishawahi hadi kuionja Sero kisa mapenzi.

Hebu tubadilishane mawazo hapa na changamoto tulizowahi kupitia......Mimi kuna hii changamoto moja nilishawahi kuipitia ktk maswala haya ya kutokea Dem. Niliendaga Dodoma Field sasa nilipofikia hapo kwa ndugu zangu jirani kulikua na mtoto mmoja mkali sana aliyeuteka moyo wangu.
Jumapili moja nikamlia Rada kwao nikavizia yuko peke yake nikaenda kwao mtoto bila hiyana kwa kuwa hua ananionaga jirani pale na wamezoeana akaona si vibaya kunikaribisha mpaka Sebuleni ktk story story za hapa na pale mara vuup Bimkubwa wake huyo kanikuta nimekaa na Bint yake Kochi moja alaf mi nilikua nimepiga bukta flan lain called Fiesta kwa wanaozijua na Singlend Dogo kwa kua alikua home alikua ametupia Kanga moja na Blauz juu alaf kwa kua nilikua na uchu Dushe lilikua km limeinuka flan hv basi daah ilikua noma sana Bimkubwa hakutaka kureact palepale ila mtaani story zikazagaa nimefunaniwa alaf ndio nilikua mgeni nikatamani Field iishe nirudi zangu Dar.

Yapo mengi sana ila hili sito lisahau kuna moja ambalo nilimficha mtoto chooni baada ya kukosea timing. Wazee na madogo walitoka si unajua ukishaanza kukua flan hivi unaanza kupotezea ile mitoko ya kifamily nikajua hapa kurudi mpaka night Kidume nikavuta mtoto ili nikae nae mpaka jua linazama flan hv nimruhusu, baas.... daah.. kufika mida flan hivi ya saa 10 jioni tumetulia sitting room nasikia muungurumo wa Gari kupiga chabo Dirishani members wamerudi alaf madogo ndio mbiombio wanakimbilia mlangoni ikabidi faster nimwambie mtoto akimbilie chooni maana najua wazee wakiigia ndani kimbilio lao huwa chumbani na madogo wasipostay sitting room basi wataingia vyumbani na madada kimbilio lao hua Jikoni basi km nilivyootea wazee wakaingia pale moja kwa moja mpaka chumbani kwao na madogo nao wakaishia siting room kwanza hapo ndipo nilipopata upenyo wa kumtoa Bibie hii nayo naikumbukaga nikiendaga home kusalimia foolish age mbaya sana.

Haya sasa wanaume wenzangu a.k.a Papuchi's Hunter hebu elezeni yaliyowasibu ktk harakati hizi

Hahahahaha umenikumbusha mbali sana.Kipindi furani nilimtokeaga demu,akawa anafanya kazi hoteli moja Mwanza,miaka ya 2010.Nikamuomba number,tulikuwa kwenye corridor kuelekea Bar juu ghorofani,kaniambia subiri nakuja nikupe.Niliganda karibia masaa mawili,nikipanda najiuliza ntampata wapi,nikishuka ntaipoteza.Badae nikaamua tuniende imekula kwangu.Baada ya miezi,nikaitwa kufanya kazi moja ya kuwafungia camera,na kuingia nao mkataba wa ufundi wa vitu furani;akiwa kama receptionist,baada ya kujua nilichokipata,mapenzi yakaanza,nami nikapotezea,kaganda eti kuolewa. Nikaona huyu kibaka tu
 
me nakumbuka kuna mtoto wa jiran nilikua namuelewa kumfata naona soo sasa nikaandika bonge barua nikanunua na kadi ya I LOVE U(kipindi cha kadi ilikua si mchezo) nikampa bhasi nimetoka misele nafika home maza akanambia kuna mzigo wako umeletewa na mama naniii(mama wa dem) kufika nikakuta ile kadi aisee nilijifungua hata menyu sikula
 
me nakumbuka kuna mtoto wa jiran nilikua namuelewa kumfata naona soo sasa nikaandika bonge barua nikanunua na kadi ya I LOVE U(kipindi cha kadi ilikua si mchezo) nikampa bhasi nimetoka misele nafika home maza akanambia kuna mzigo wako umeletewa na mama naniii(mama wa dem) kufika nikakuta ile kadi aisee nilijifungua hata menyu sikula
Handsome umejifungua??? Interesting
 
Mm nakumbuka katk maisha yangu ctasahau kabisa kipindi nasoma o'level marangari boys kunamtoto wa doctor 1 nilimtongoza kipindi hcho nakumbuka tulipata ajari tunatoka kucheza mpira ss basi ndio nimepata nafuu tuko shule hyo shule yao ikaomba mechi wakaja huyo msichana nilivyomuona nilimpenda ijapokuwa nilikuwa na majeraa ikabidi nishuke mistari kwel dogo hakanielewa tukaanza mahusiano hvyo dogo alikuwa bikra nikatengua kitu ss dogo penzi likanoga kwao hapakaliki mm na yy tunakutana getto kwa mshikaji 1 hv mwanakijiji alikuwa maepanga ss alikuwa mchizi wetu ss dogo alikuwa ananiibia sukari sabuni wakipika kwao maandazi mikate nilikuwa nafaidi cn ss mama yake akajuwa ww kilinuka mpaka kaka zake walikuja kutoka dar walinisaka nakumbuka siku hyo sikulala shule ilibidi nikalale mtaani nilitaguta kila kona yaani ilikuwa kidogo niache shule kipindi hcho nikiwa 4m3 2006 hyo yy akiwa 4m2
 
Mi nakumbuka wakati nipo kidato cha tano kuna she wa kota alinielewa alikuwa na 4m 4 yeye . tulikuwa tupiga out door kwa sana. siku moja home kwao wazazi wake walikuwa kazin akaniambia nitimbe nikapige papuch kipindi kile nina njaa kinoma na haya mambo.

Wakati tunafanya yetu mara tukasikia hodi aisee kumbe baba yake karudi kwa zarula aisee nilifichwa uvunguni kama lisaa hivi mpaka mzee alipotoka nje nikatolewa mlango wa nyuma.
 
Yaani mimi mama alikua over protective... Vijana wanajifikiria mara tatu tatu kuja kunitafuta nyumbani... Kuna siku nimetoka buchani mkaka mtanashati tu akanisimamisha... Nikamwambia nina haraka aje anitafute nyumbani... Sijui hakuwai sikia matimbwili ya mama Paprika...
Ile anagonga hodi getini, mama ndo akaenda kufungua, mimi nikawa nachungulia kwa mbali... Kaka akamuuliza mama eti ku a dada nilikutana nae asubuhi akaniambia anakaa hapa!!! Mama akamwambia subiri, akafunga geti akaja kwangu akanivuta baluzi mpaka ndani... Akanipiga mkwara wa nguvu... Eti ukitoka nje utatafuta mama ako..
Mkaka sijui alisubiri kwa mda gani!!!
 
Mm nakumbuka katk maisha yangu ctasahau kabisa kipindi nasoma o'level marangari boys kunamtoto wa doctor 1 nilimtongoza kipindi hcho nakumbuka tulipata ajari tunatoka kucheza mpira ss basi ndio nimepata nafuu tuko shule hyo shule yao ikaomba mechi wakaja huyo msichana nilivyomuona nilimpenda ijapokuwa nilikuwa na majeraa ikabidi nishuke mistari kwel dogo hakanielewa tukaanza mahusiano hvyo dogo alikuwa bikra nikatengua kitu ss dogo penzi likanoga kwao hapakaliki mm na yy tunakutana getto kwa mshikaji 1 hv mwanakijiji alikuwa maepanga ss alikuwa mchizi wetu ss dogo alikuwa ananiibia sukari sabuni wakipika kwao maandazi mikate nilikuwa nafaidi cn ss mama yake akajuwa ww kilinuka mpaka kaka zake walikuja kutoka dar walinisaka nakumbuka siku hyo sikulala shule ilibidi nikalale mtaani nilitaguta kila kona yaani ilikuwa kidogo niache shule kipindi hcho nikiwa 4m3 2006 hyo yy akiwa 4m2
Ila mapenzi hayaa!!! Mimi nilikuaga nampikia boyfriend hadi chapati... Naiba soksi za baba nampelekea... Kuna kipindi alikua na shida ya hela nikaiba nyumbani... Enzi hizo wazee walikua wanaweka hela nyingi ndani... Hawakujua kama zimepunguzwa... Yaani mzee anatoka safari za nje ananiletea zawadi na mie moja kwa moja nampelekea baby!!! Yaani enzi zile ningekua nafanya kazi nadhani ningemkabidhi mshahara wangu wotee...
Yaani najuta kufanya yote hayo kwa fa.la yule aisee!!! Sijui utoto au ndo love is blind!!!
 
Back
Top Bottom