Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,255
Dada yangu lara 1, mwaka 2014 ulikuja na mada hapa yenye kichwa habari kuwa unatimiza 30 years of age na unaomba namna ya kudeal na age hiyo kimapenzi. Naona sasa umekuwa na 33 years.....tunaomba basi mrejesho wako.
Sio kwamba nakufuatilia maisha yako, hapana. Nimepita pita tu huko nikaona topic hiyo bado ipo nikawa very curious kupata mrejesho.
Kusoma hiyo thread pitia hapa Tupeane mbinu namna za kuwateka hawa wanaume kwa sie 30 and above