kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 735
Hivi ukiwa unaumwa malaria au ukiwa na homa vipi mgegedoni performance inakuwaje, kwa sababu nimekuwa mwoga sana kugegeda nikiwa siko sawa kwa hofu ya kufanya chini ya kiwango na hivyo kujipotezea sifa yangu ya dakika 45 kipindi cha kwanza.... Naomba kujua kwa mwenye uzoefu na hili je performance hubak vile vile au huwa na mabadiliko..