winnerian
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 373
- 571
Nahitaji mkopo sana lakini mabenki mengi hayatoi mikopo toka mwanzoni mwa mwaka jana kutokana na vugu vugu la wafanyakazi hewa pengine na uchumu kuwa na msukosuko. Je kwa wale wahusika waliopo jikoni tutegemee nini. Je hali itaendelea ilivyo au tutegemee mazuri. Nawasilisha kwa wahusika.
N.B: CRB, NMB, NBC na nyingine nyingi zimesimamisha kabisa zoezi hili kwa ndani ila kwa nje ukiuliza wanakumbia matawi yao baadhi yanatoa ili hali hakuna tawi hata moja linalotoa mikopo.
Wengi tunamipango ya kujikwamua kiuchumi lakini kuna vizingiti vingi sana kweye serikali ya awamu ya tano. vingi sana na visivyokuwa na umuhimu hata kidogo.