Tabia za wanawake zinazokera wanaume lakini hawasemi

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,581
Moja kwa moja kwenye mada,

1. Kupiga mizinga - Wanawake wanapenda sana kuombaomba hela. Hata kama anazo, atapenda na za kwako kidogo achukue. Yaani "omba omba sana" kutokana na tamaa ya shetani waliyonayo.

2. Kupenda mambo makubwa kupita uwezo wao. Hupenda vyakula vzr,nguo nzuri, gari nzuri lakini siyo nyumba nzuri. Ukioa mwanamke ukawa una kijiffedha kidogo, anakunyonga na kukutupa shimoni.

3. Wanawake watu wa maslahi saa zote. Muda wote mwanamke anataka awe amejaa kifedha yaani "people with strategic mission".Hi hatari sana, unaweza kufa au kunyongwa kabisa

4. Ving'ang'anizi sana.Mwanamke akisema kitu amesema, akitaka kitu ametaka.Usipompa ananuna na usiku hakupi chakula chetu kile.

5. Kusikiliza mambo ya watu wa nje zaidi. Wepesi sana kudaka stori za nje na kuzileta ndani,mbaya zaidi muwapo kitandani.

6. Wanawake hupenda sana kushindana (ku-compete). Akina mwenzie ana haki, anatakitaka na yeye, hata kama tu nguo ya ndani.

Tuishi na wanawake kwa machale sana, hawaeleweki hawa ndugu zetu. Kukuondoa ni dakika sifuri tu

http://www.mwananchi.co.tz/habari/T...-hawasemi-/1597578-3931398-j1cdybz/index.html
 
Mkuu hawa viumbe inatakiwa uishi nao kwa akili mno na uvumilivu wa hali ya juu
 
mkuu usipo mpendezesha mwanamke ujue kuna anae mnyemelea ampendezeshe sasa anakusisitiza umpendezeshe ili asitereze kwingine.

nyie mkionaga makalio ya wadada mnahangaika na kujizuia hamuwezi

na sisi tukionaga gentleman anajali kwa kutupendezesha na care nzuri km bado upo vile kwa wazazi hapo na sisi tunachanganyikiwaga tunakuacha wew uliye bahiri.
 
Wanajua raha wanayokupa huwezi stahimili kuikosa kwa gharama yoyote utakuwa tayari kuipata raha hiyo na hiyo raha anayo yeye hivo anaitumia hiyo raha kwa faida
 
Yaliyomo YAMO lakini sio kwa wote japo 75% ni kweli.

Kuna wanawake wana kazi zao za heshima tu, wana vipato vizuri na wanaendesha maisha yao bila kumtegemea mwanaume. Wanawake wa namna ni exceptional sana na wanapotatafuta mwanaume hawataki bora mwanaume ila wanataka MWANAUME BORA. Kwa lugha yao wao wanasema hawataki wanaume MARIOO

Ukimpata mwanamke wa hivyo, hutajuta na wapo wachache kweli na daima akikupenda anakupenda kweli. Tatizo wanaume wengi wa siku hizi ni kutaka kumtegemea mwanamke na hasa tabia ya kupiga vizinga....sasa shida inakuja demu anataka kukupiga kizinga na wewe unamtegea ili umpige kizinga....hapo sasa ndio lazima maneno kama hayo uliyoandika hapo juu lawama zote zinamuangukia mwanamke tu LAKINI na wanaume wapo...tena wanapenda wadada wenye helaa na maisha mazuri au nyumba nzuri ili naye ahifadhiwe...

Mwisho, ni kuwa ni hulka toka enzi za mababu kwa mwanamke kumtegemea mwanaume kwa sababu mume ndio kichwa cha familia, hata kama mke ana kazi ni sawa lakini 75% ya mahitaji ya ndani inabidi yawe covered na mwanaume, na mke anaweza ongeza hiyo 25%....na pia mshikamano ndio muhimu ili hata yeye aone anatoa kipato chake kwa faida ya familia.

NB: Kwa maisha ya sasa, wanawake wengi (90%) ni macho juu juu kwenye pesa.....wanataka wanaume wenye hela tu hasa kipato cha kuanzia MILIONI kwenda juu. They don't have true love but they love your cash only.

So, ni vema kumfahamu mwanamke wako au mpenzi wako kwa undani zaidi ili ujiridhishe kabla hujafanya maamuzi magumu ya kuoa au kuolewa (hii ni applicable wa jinsi zote mbili....me na ke).

Huo ni mtazamo wangu.
 
mkuu wanachaputa walisema punyeto haina gharama..tena ni raha tupuu...jiunge upate raha duniani..
 
Back
Top Bottom