Tangu mwaka 1980 wanawake hawajabadilisha maswali unavyowatongoza.
Swali 1.Hivi wanawake wote hujawaona mpaka uje kwangu?
Swali 2. Nitaamini vipi kama unanipenda?
Swali 3...
Hii Ni njia nyepesi sana kujua Baadhi ya Tabia Ngumu kuzijua kwa Mwanamke ila Nyingi hujitokeza akiwa kwenye siku zake au Mjamzito.
Nitfafanua zaidi Baadae.
Habari za majukumu ndugu zangu!
Napenda kuwapongeza waliofungua/anzisha huduma hii ya jamii forum!
Kwa wale ambao huuliza kama kweli unaweza kupata mwenza humu nawaambia jibu in NDIO kwa maana...
salaam kwenu
wanajukwaa hii penda chovya chovya inasababisha kukutana na mengi hata kuyahadithia inakuwa tabu,
jana nimepita mahali fulani ni mida ya lala salama nikiwa nataka kuchukua kifuko...
Huko Kenya baada ya kujua mkewe anatembea na bosi wake, jamaa alimuonya mkewe lakini mke hakusikia. Baada ya kushindwa akabiliane vipi na bosi huyo aliamua kuvizia gari yake na kuandika maneno...
Nimegundua mengi
Mwanaume anachukia sana swali hili iwapo anahitaji uhusiano na mwanamke hususani kipindi hiki cha kubana matumizi .... Ewe mwanamke, usimwulize mwanaume swali hili kwani...
Nipo hapa Lodge flani mitaa ya Sinza, nimeaga naenda Iringa kwenye semina, kumbe Mzee niko hapahapa jiji la Makonda nimejichimbia.
Sasa nipo na Mchepuko ambao ni denti wa Chuo, ameshakula hela...
Utakuta mwanamke toka saa 6 anapika futari mpaka magharib adhana yamkuta jikoni nywele kitimutimu dira limejaa unga wa ngano umegandia na nyanya anamtengea mume chakula anuka kachori na katlesi...
Aisee dunia inaenda kufa sasa kwa uelekeo huu tuliopo Duniani. Kuna Dada mjamzito nimekutana nae nikamsalimia nakumuambia shemeji hajambo, alichonijibu akasema yeye yupo single na mimba anailea...
Ni moja ya kauli mujarabu kabisa iliyotikisa anga la habari hivi karibuni.Kusema kweli linapokuja suala la mapenzi mwanaume ambaye ni rijali lazima ashikwe na mchecheto pale anapomwona mwandani...
Ukisoma Biblia takatifu ,utakuta neno ndoa limezungumzwa mara 38 katika vifungu 38 ,na ukisoma kitabu cha Methali[ 31:10-31] Mke mwema kweli, apatikana wapi?
''Huyo ana thamani kuliko johari...
Ulishajiuliza kwa nini vitu vilivyokatazwa kwenye maandiko huwa ni vitam sana? Mfano pombe? Kambale? Nguruwe? Nk? Tukumbushane na vingine haramu ambavyo ni vitamu....
Wakuu salama.
Wandugu jumatano,tarehe 05.11.2014 natakiwa niende angaza kupima UKIMWI hapa nilipo confidence ni zero inaelekea negative.
Kwa kawaida mimi huwa najiamini kupita kawaida kwa kila...
Haya ni maneno aliyotamkiwa shots na boyfriend miaka 15 iliyopita. Wakati huo shost mapenzi yalikuwa yamejaa tele kwa jamaa. Hakuwa na jinsi aliuguza majeraha, wakati hup jamaa alishampata...
Nilizaliwa kijiji cha Nangokwa, Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara. Nililelewa na bibi marehemu na Ndugu zangu wote wakiishi kwa baba mzazi jiji Dar Es Salaam. Mwaka 2000 Nilisafirishwa kutoka Mtwara...
Mwanaume mwenye roho ya kimaskini anaweza kuwa na pesa lakini nimchoyo na mbinafsi. Hapendi ndugu zako waje nyumbani na kama mnatembelewa na wageni usiku halali mpaka aangalie nyama imebaki kiasi...
Nawasalimu wote familia ya MMU,
Wanawake/wasichana ni nani aliyewaambia kuwa kila mahusiano mnayoyaanzisha lazima mwisho wa siku yazae ndoa?
Kwani hamuwezi kuanzisha uhusiano kwa ajili ya...