real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,287
Huko Kenya baada ya kujua mkewe anatembea na bosi wake, jamaa alimuonya mkewe lakini mke hakusikia. Baada ya kushindwa akabiliane vipi na bosi huyo aliamua kuvizia gari yake na kuandika maneno LEAVE MY WOMAN ALONE
===============================================
Huko nchini Kenya jamaa mmoja aliyekuwa na uhusiano wa kimapenzi na mfanyakazi wake ambaye ni mke wa mtu ameadhibiwa kwa style ya aina yake.
Inaelezwa kuwa mwanamke huyo aliyekuwa akitembea na bosi wake alishtukiwa na mumewe na kuonywa lakini hakusikia.
Kilichofuata ni mumewe kuvizia gari la bosi huyo na kuliandika kwa maandishi makubwa ya rangi nyeupe maneno yasemayo ‘Achana na mke wangu’.
Hii imekaaje?
Chanzo : EATV