madala mujipa
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,417
- 861
salaam kwenu
wanajukwaa hii penda chovya chovya inasababisha kukutana na mengi hata kuyahadithia inakuwa tabu,
jana nimepita mahali fulani ni mida ya lala salama nikiwa nataka kuchukua kifuko changu cha chips za kwenda kulalia,wife amekwenda kwao kidogo kuna majukumu ya kifamilia,
Sasa nilipofika pale niakamuagiza yule muuza chips oda yangu,nikatoa simu yangu mfukoni nikarudi kukaa kwenye boda boda langu,wakati naweka ile stend kubwa ili nikae vizuri namuona kuna dada ameinuka kwenye kiti anakuja muelekeo wangu...akanisalimia akaniuliza wewe ni boda boda kama ilivyo ada swali juu ya swali..kwani vipi una safari akajibu ndio naelekea gongo la mboto nikamwambia sawa umeshamaliza mahitaji yako hapa akajibu ndio basi,
nikamwambia basi vuta subra kama dakika kumi oda yangu ya chips itakuwa tayari..akajibu sawa nikaenda pale kwa muuza chips akaniambia ndio anafunga oda akanipatia,tukaondoka nikaona aah nishapata mtu wa kurudi haina haja ya kukimbiza pikipiki nikawa naendesha mdogo mdogo na maswali ya kichokozi
mpaka tumefika eneo la nyumbani kwake mimi somo nikawa nimeshamaliza,akaniambia nimsubiri kidogo abadili zile nguo alizovaa na awache vitu vidogo alivyokuwa navyo,kweli aliingia ndani lakini hakukawia kutoka
Nikambeba mpaka mitaa ya buguruni nikatafuta chimbo tukazama,akajimwagia maji na mimi nikafanya kama vile nikamuuliza kuhusu kula..akajibu muda ule niliomkuta pale ndio alikua anamalizia kula..
baada ya hapo tukapanda kunako kitanda sasa nikaanza kutaka kupiga piano wakati napitisha vidole sione ile kitu yake inayomletea hanjamu nikajaribu kuhakikisha lakini ndio hivyo sikuona aah mi kihivyo hivyo nikapiga mzigo lakini simuoni mwenzangu kama kuridhika ananiambia wewe ongeza sasa namuuliza nyongeza hii mpaka wapi na mimi niliojaaliwa nayo ni hii tu
dah nimesugua mpaka nikaona sasa huyu kama hasikii chochote labda nimpashe na kaa la moto lakini mimi kwa hapa nimeshanyoosha mikono,
Muda huu amepiga simu pia sikuipokea kwa uwoga mhh dunia ina mengii yupo tofauti na wengine hana ile kitu yake