Ni kweli kabisa kadri mnavyopanua ndivyo tunavyozidi kutamani

Ntandaba

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
925
1,000
Ni moja ya kauli mujarabu kabisa iliyotikisa anga la habari hivi karibuni.Kusema kweli linapokuja suala la mapenzi mwanaume ambaye ni rijali lazima ashikwe na mchecheto pale anapomwona mwandani wake akipanua taaratibu,hii ni kusema kuwa mkiwa faragha endapo hatapanua automatically mwanaume lazima itamtoka sauti kama vile kaa vizuri au panua.
Pasi na shaka enyi wa upande wa pili kadri mnavyopanua ndivyo tunavyotamani.Kama kuna mambo mengine mnayoweza kuyafanya zaidi ya hiyo ni vema na haki tuambizane kupitia hapa
 

mind ur bussness

JF-Expert Member
Dec 15, 2016
1,059
2,000
Naona wanaocomment wote ni wale wanaotakiwa kutaman....

lakin wanaotakiwa kupanua cjaona ushirikiano wao wa mawazo.

Ivi ni kwel hiyo thread hapo juu inahusuuuuu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom