Epuka kumfanyia mwanamke jambo hili katika maisha yako yote

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,162
794
Nilizaliwa kijiji cha Nangokwa, Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara. Nililelewa na bibi marehemu na Ndugu zangu wote wakiishi kwa baba mzazi jiji Dar Es Salaam. Mwaka 2000 Nilisafirishwa kutoka Mtwara kuja Dar es salaam kwa baba Mzazi. Mzee alikuwa Benk Kuu alistaafu kwa kashfa flani flani.

Kwa kuwa maisha ya mjini sikuwa mwelewa, nakumbuka mama aliniusia kuhakikisha nakuwa msafi muda wote. Aliniomba nifue nguo zangu kabla ama baada ya kuoga. Tulisafiri usiku mkubwa, kichwa kiliuma sana, nilijizuia kumweleza mtu yoyote hali ile kwamba ama safari ingeishia hapo. Nilijikaza tu..katikati ya safar kilizidi kuuma. Nakumbuka nilisafir na dada mmoja sikuweza kumtambua vizur ingawa yeye alinifamu vizur, alikuwa kunako umri wa 19 kuendea ishirini wakati huo nikiwa nimemaliza la saba, nilishindwa kuchaguliwa shule yoyote Pale Newala, Lakini nilijiona ninauwezo mkubwa sana Hisabati, Kizungu kiasi nilijibu vijiswali vidogo.

Debora alinistua usingizini safari hii kichwa kilipoa japo nilikisikia kwa mabli. Nikiwa na umri wa balekhe lilikuwa kosa kubwa debo kuniweka mapajani nikijilaza, aligundua sikiwa sawa, ama nimechoka au ninausingizi. alinifunika mapajani, hapa kichwa kilikuwa mapajani mwa huyu kiumbe, kukmbuka ailikuwa mkubwa kwangu.

Nakumbuka wakati naishi kwa bibi, mama mdogo alikuwa na mashost wenzie walikuwa wakienda disko waliniita niwafungulie mlango..mama alilala chumbani vyumba vya ndani sisi vijana wa kiume tulilazwa vyumba vya uwani. Nilikuwa na kijitabia cha kuamka kuwa shika nyeti zao, nakumbuka nilishika vuzi. Hapo sijawahi kuona papuchi. Wale wadada walevi niliwakumbuka nikiwa mapajani kwa debo binti tuliengozana kuingia jijini daslama.

Nikajichezesha kana kwamba najiweka sawa wakati huu mkono ukiwa umeshika paja la debo, kila gari ilivyoyumba nilisogeza mkono ndani. Debo alitulia.

Itaendelea....

SEHEMU YA PILI

....nilikosa hata usingizi wenyewe nilijikuta nimezama mapajani mwa msichana, maskini mwanamke huyu asijue alimuhifadhi alale alishahama kumtamani. Debora wakati wote huu hakuwa amelala alikuwa akifuatilia filamu ya kinigeria..magari ya siku za nyuma kidogo walipendelea kuwawekea abiria filamu ama wasichoke au wasiboreke wawapo safarini.

Nilikuwa na uhakika debo hakuwa na mawazo kama yangu kunifunika nikiwa nawazia ngono. Ghafla niliamua kuinuka akastuka, akauliza mbona umeamka ghafla, sikumjibu..nikafikiria namna ya kuendeleza nilichokuwa nakifanya mapajani alivyokuwa amenifunika. Nikajilaza begani mwake, kwakuwa bega halikuwa saizi yangu niliishia chini chini usawa wa matiti, hapa ilikuwa mkononi nikajipeleka karibu kabisa na titi, safari hii sikutaka ajue nia yangu...nakumbuka siku ya kwanza kumvamia mwanamke kwa kumvuta mkono, shakila alinitamkia nisubiri! alikuwa ametumwa dukani...nakumbuka shakila alikuwa mzur kwa debora sikutaka itokee ile, wakati najisogeza kwenye titi zake debo alistukia kitu, "akasema una nini wewe? ..si ulale hapa hapa ulipokuwa?" nilikaa kimya..nikamsemesha kwa sauti ndogo ...hapa hapa... hapa debo alikuwa ameshahamisha mawazo yake kweye hisia nilizokuwa nazo, nilijirudisha mapajani kwake safari hii kimahaba kabisa..nikimshika vizur debora mapaja ya miguu yake yote, mkono mmoja huku na mwingine mguu wa pili. Nilikuwa nikiminya kila baada ya dakila chache.

Nikashangaa..mtu ameshusha mkono kwenye kichwa changu, mwingine mgongoni. Nilizidisha mishiko safari hii kila baada ya sekunde kadhaa. Debo alipenda ile hali. Akaniamsha. Nikastuka nikajua sasa nimeharibu, alinishika usoni akasema ...unanini? sikujibu kitu, nilijirudisha mapajani na nikashika niunoni usawa wa mbavu kulia na kushoto debo alibadilisha mihemo. Ukumbuke kila nilivyoshika nilihakikisha natulia kidogo kusubiri hisia zake..kw hiyo nilihama na hisia..debo alianza kupapasapapasa mgongo wangu. nikazidisha kupapasa kiuno hadi mbavuni. Nilipata ujasiri nikanyanyuka nikamwambia nakupenda sana.

Nilishangaa sana kwa sababu alininasa kofi.
Itaendela.....
 
Kwa uandushi huu napata wasiwasi kama kweli you chuo kikuu au choo kikuu. ....angalia dogo mtaani watu type yako wanategemea sana feva za viongozi wangu serikalini...e.g.. bashite.
 
Stress zimekupelekea kuandika kisichoeleweka hebu tuliza akili then rudi tena ili ueleweke hapo ndiyo utapata mawazo mazuri kutoka kwa wadau
 
Stress zimekupelekea kuandika kisichoeleweka hebu tuliza akili then rudi tena ili ueleweke hapo ndiyo utapata mawazo mazuri kutoka kwa wadau
Anamaanisha huyo bint alimpenda sana huyu kijana mpaka akampa 0713 a.k.a tigo bin kabang bin kisamvu cha kopo!!!

Hatari sana!!!
 
Back
Top Bottom