Maswali chokozi kwa wanaume

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
712
332
Nimegundua mengi

Mwanaume anachukia sana swali hili iwapo anahitaji uhusiano na mwanamke hususani kipindi hiki cha kubana matumizi .... Ewe mwanamke, usimwulize mwanaume swali hili kwani utapigwa nje ya mstari soon..... ' Kaka, kwani unafanya kazi gani' kazi haihusiani na nanilihi

Wakati mwema
 
Mbona hilo swali la kawaida tuu....istoshe....zama hizi ni za ukweli na uwazi...muweke wazi mwenzi wako ....
 
Nimegundua mengi

Mwanaume anachukia sana swali hili iwapo anahitaji uhusiano na mwanamke hususani kipindi hiki cha kubana matumizi .... Ewe mwanamke, usimwulize mwanaume swali hili kwani utapigwa nje ya mstari soon..... ' Kaka, kwani unafanya kazi gani' kazi haihusiani na nanilihi

Wakati mwema
Kumbe watu tunatofautiana sana aiseeeee......
Mimi hakuna swali ninalo lipenda na hua nalisubiria kwa hamu kama hilo, maana hapo ndipo hua nafungia bao la mkono kwa kujikweza, kujipaisha na kujipea fully maujiko hadi mtoto anajaa, na kwa hilo swali hua nahakikisha nacheza kama pele na mtoto hachomoki kwenye vise....
 
;)....... nimejikuta nacheka kwa sauti, kuna jamaa angu alikuwaga paparazi, sasa akikuta mali ghafi lazima ayavune kwa kujigamba..... nasikia siku hizi ni mlokole hapa dar na anakubalika mbaya
 
umetembea na wanawake wa ngapi kabla yangu!?

ha ha ha ha hili swali utafanya aahirishe kila kitu.
 
Hamnazo ukiona hivyo huyo aliye uliza... Wewe hivi ni kweli unaweza kwa mwanaume kujua hesabu wangapi hadi ulipo sasa hivi... Aah! Anataka adanganywe tu
 
umetembea na wanawake wa ngapi kabla yangu!?

ha ha ha ha hili swali utafanya aahirishe kila kitu.
Ukiuliza swali hilo kama wewe bado bikra litakuwa na maana zaidi, lakini kama wewe(BP)!.
Linakosa mashiko..
 
Mimi kazi yangu Dalali wala sikufichi nna ka gar haka Tu
0281700931d03a08ba52c64cb63e9181.jpg
 
Back
Top Bottom